MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Idadi ya vijana katka huo mkutano ni 30% na wazee ni 70% sasa wapiga kura wake ni vijana au wazeee, the reality ni 70% ndio ni vijana ambao ndio wapiga kura hawajapewa nafasi ya kuuliza humo ndani
Waandishi wa habari Tanzania ni WANAFIKI SANA, MUNGU WAONGEZEE DHIKI NA NJAA MARA DUFU.
sijapenda hata kidogo anavyotetea sera yake ya kuwanadi watuhimiwa wanaogombea ubunge wakati wana kesi mahakamani boring :tape:
Malaria Sugu yuko wapi akaokoe jahazi la mkwere linazama....
Uko sahihi hivi Kama Mwenyekiti wa chama anasema hawana njia ya kushughulikia matatatizo je Mbona CCM ilihukumu watu sio raia wakanyimwa nafasi za ubunge. Hawakuwapa nafasi uhamiaji kwanza.???!!! Serikali yake mwenyewe ndo imewapeleka mahakamani. Ina maana serikali iliridhika wana tuhuma. Kama serikali ilikuwa haina uhakika si angetulia nao tu hao kina mramba na chenge kama alivyofanya mwenzake mkapa.sijapenda hata kidogo anavyotetea sera yake ya kuwanadi watuhimiwa wanaogombea ubunge wakati wana kesi mahakamani boring :tape:
Tupo wawili mimi na mama heleni I mean he"she"Malaria Sugu yuko wapi akaokoe jahazi la mkwere linazama....