GE2025 Kikwete: Wanaodai utaratibu wa kumpata mgombea CCM haukufuatwa labda wanajifanya hamnazo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
polepole kaishiwa pozi sasahivi anahsngaa tu alijuwa mama atamuogopa na vitendawili vyake
Polepole bado yupo sana kawabeep kidogo sana, bado ana misitari mingi zaidi tulia sindano zinakuja
 
Mkuu, kwa heshima na taadhima, naomba unitumie kwenye PM. Maana hata uzi wenyewe wamerestrict hakuna ku comment tena.
Utakula ulipo peleka mboga mkuu, mimwenyeqe natafuta hoti niwzi kwa wadau...teh😜
 
Polepole hawezi kukaa kufikia daraja ya JK kwahiyo atakachoongea chochote ni kama kiwavi tu mbele ya kipepeo bado ana safari ndefu

Ila umeandika Kwa uchungu sana kiongozi. Kulikoni?
 
Mr Polepole tudai Katiba mpya bora !
Rasimu ya Mzee Warioba ni muhimu sana !
Hii mambo ya kanuni na desturi za Chama hizo ni kwishaaa ! Fullstop 🤣🤣😂😅 !

Karma is for real 😳 !
 
Kikwete profesa wa siasa, akiongea utampenda anaijua siasa anajua kuitawala jukwaa. Anaeleweka kirahisi. Hayo mambwa koko hayana lolote wengine ya kwao yamewashinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…