GE2025 Kikwete: Wanaodai utaratibu wa kumpata mgombea CCM haukufuatwa labda wanajifanya hamnazo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sisi WanaCCM hatuna shida na uteuzi wa Mama Samia, wenye nongwa ni wale waliopata bahati ya kupitia CCM. Ahsante sana JK
 
To be on the safe side na kukanusha madai ya washindani wenu, ziachie mahakama zitoe maamuzi without your influence. Ukweli utakuweka huru bila matusi majukwaani
 
Hivi Samia akikumbuka ile ibara ya Katiba iliyomwezesha kupata urais atakuwa anajisikiaje.

Maana ni hiyo hiyo inayoweza kumwezesha Nchimbie kuchukua uraisi.

Hiyo ibara inaogofya kwa Rais aliyeko madarakani na inatamanisha kwa Makamu wa Rais.
 
Sawa mzee wa msoga, ni wakati wako wa kutamba na kutawala lakini yote yana mwisho
 
Hivi Samia akikumbuka ile ibara ya Katiba iliyomwezesha kupata urais atakuwa anajisikiaje.

Maana ni hiyo hiyo inayoweza kumwezesha Nchimbie kuchukua uraisi.

Hiyo ibara inaogofya kwa Rais aliyeko madarakani na inatamanisha kwa Makamu wa Rais.
 
Hivi mbali na yeye kuna Wazee wengine walihudhuria kwenye uzinduzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…