Kila anayeshabikia mkataba huu hana hata division one ndiyo maana hatuelewani

Mimi nina Division 1 ya point 14 na nanga mkono mkataba huu. Una lingine?
 
Huu mkataba hauhitaji hata elimu ya form 4 kuona manufaa utakayoleta kwenye nchi, tutakusanya mapato mara tatu zaidi, acheni kupinga maendeleo nyie watanganyoka 🐒
Makuwadi wa Kenya hawa. Hawataki Bandari za Tanzania ziwe juu ya Bandari za Kenya kiufanisi
 
Naww unafkri unaakili yote hayo Ni kwasabu umeskia mbowe kaongea ndo maana mnaitwa MANYUMBU
 
Huu mkataba hauhitaji hata elimu ya form 4 kuona manufaa utakayoleta kwenye nchi, tutakusanya mapato mara tatu zaidi, acheni kupinga maendeleo nyie watanganyoka 🐒
Hebu nieleze kwa sentensi tano katika huu mkataba unakusanye mapato mara hizo unazosema labda nitakuelwa.
 
Mimi nina Division 1 ya point 14 na nanga mkono mkataba huu. Una lingine?
Uwe na division one point 14 ya wapi. Nipe number yako ya mtihani. yaani ukijiona unashabikia huu upuuzii jua ulifeli
 
Kwa mwandiko na wasilisho poor namna hii…. Utabaki blind wa vision kabisa

Ulitaka kusema nini?
 
Ujinga ule ule wa watanzania kudhani kuwa elimu zao ndio kila kitu. Mleta mada ukirudi nyuma kwa wazazi wa wazazi wako, yupo mmoja wa babu zako mwenye elimu yoyote?.

Newton alipata shahada ya chuo kikuu karne hizo za 1600, Tanzania yetu ilikuwa inafananaje wakati huo?.
 
Ndio tumewka Vilaza Sasa tayari tujaribu na Hawa waliokairiri labda mambo yatakwenda.

Mimi siamini kama watanzania wanashindwa kuendesha bandari
Sio elimu inayoendesha bandari peke yake, punguza mawazo ya kitumwa. Kuna ubunifu, nidhamu na kujituma na hizo ni sifa nne zisizoangalia kama una shahada ya juu sana ya chuoni au la.

Huu uzi wako unayapa uhalali yale maneno ya kujitapa ya mbunge Msukuma, na matajiri wote wenye elimu za darasa la saba.
 
Umeokota misleading sentences za watu ambao tayari wamepata majibu

Nchi haiongozwi kwa clips dogo
Yaani ujue hata mkataba sijauona nilipata ganzi. Kwanza sheria ya PPP inamatatizo makubwa sana. Haipaswi kuwepo. Tatu hakuna uwekezaji pale TPA zaidi ya kununua vifaa vya kupakua. Kina tumeongeza tayari, upanuzi wa gate. Cha ajabu ni Pesa kidogo Tshs Trillion Moja tu kwa mkataba mrefu. Ambapo Tanzania inaweza kuwekeza hiyo pesa. Mimi nadhani Tanzania ingepeleka watu wake DP world kujifunza baada tukaweka hiyo hela hapo. Nchi haiwezi kujenga Reli ikashindwa kujenga Bandari. Ni mwendawazi tu anaweza kukubali.
 
Hapana tumewapa nafasi wenye elimu ya kuungaunga tumeona hebu tuwape vipanga na wenyewe tuone ndio uje hapa tuongee
 
Wenyedivision Wani ndio hao wanashinda uberigijiii, huku wakiwaacha wenye darasa la Saba wakilipa Kodi za ruzuku ya vyama vya siasa ili hao wenyedisheni Wani wakazurule huko.
 
Hkn mtu ,muekezaji mjinga atakubali kufanya biashara za hasara dp world siyo wajinga Kuja kumwaga fedha sehemu isiyo kuwa na faida hvyo lzm tukubali kuliwa tu ,dp world siyo wajinga kukubali kuliwa kirahisi na watanzania
 
Kwani uwekezaji ni Kwa sababu wenyeji hawa weziii?? Mbona kunawatanzania wengi wamewekeza huku marekani, kwani ni Kwa sababu marekani hawawezi kuwekeza?? Umeona madhara ya Kupata hizo disheni Wani za kukaririshwa darasani.
 
Kama hii ndio div. one Basi zangu zote sizitaki

Aspect ya ppp yenyewe huielewi, wapi inafaa na wapi haifai. Kununua vifaa is part of a bigger investment Kwa ujumla wake

Anyways…. Seems like your focus was on division one, no wonder are are still poor
 
Hkn mtu ,muekezaji mjinga atakubali kufanya biashara za hasara dp world siyo wajinga Kuja kumwaga fedha sehemu isiyo kuwa na faida hvyo lzm tukubali kuliwa tu ,dp world siyo wajinga kukubali kuliwa kirahisi na watanzania
Kwani sera ya uwekezaji duniani inasema mwekezaji atatakiwa Kupata hasara ili mwenyeji apate faida zaidiii?? Hizi elimu zenu za divisheni Wani za kukaririshwa na kusoma mapasti Pepa ni hatariii Kwa Taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…