Ukifuatulia vizuri mjadala huu wachangiaji wenye Ushawishi na waidhinishaji wa mkataba huu wenye Ushawishi. Ukiacha wateuliwa wanaoshabikia kikatiba na kichama. Wengi wao Hawana hata division one kwenye matokeo ya form four.
Kwanini hata wizara ya Fedha wakachukuana wale wale wenye matokeo Tata. Kwanini wasichague wasiyo na matokeo Tata?
Hebu wa Jaribu hata faraja Kotta Uwaziri wa Fedha tuone.
DP world wamejenga hizo Bandari wao. Bandari zingine zipo chini ya serikali ya USAWatu milioni 60 wanawekwa bandarini? Marekani ina watu wangapi, hujasikia hao DP World wako na kule Marekani? Hujasikia Marekani ndio anongoza uchumi wa dunia? Kwa huyo sasa DP World yupo. Tumia akili hata km ni ndogo kufikiri
Hivi Kuna mwenye cv ya elimu ya bi mdashi,mie sijawah iona,nasikisikia tu ni fomufoo felia,ni kweli?Tuanzie na Rais. Angekuwa na elimu ya kueleweka tusingeuza Ngorongoro, loliondo, na huu mkataba wenyewe serikali hawajui hawauelewi wamesaini nini?
Hapo Mimi sipoHivi Kuna mwenye cv ya elimu ya bi mdashi,mie sijawah iona,nasikisikia tu ni fomufoo felia,ni kweli?
Hakuna Sababu kiivyooo,juwa mama amefungua nchi.Nipe sababu kwanini tutoe bandari
Wewe ndio Umenipa point🤣🤣Hakuna Sababu kiivyooo,juwa mama amefungua nchi.
Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Mi naona kinyume chake. Mkataba huu ni tester ya uelewa wa watanzania. Wengi wetu hawajyi chochote kuhusu mambo ya Biashara, Uwekezaji wa kimataifa na general understanding ya global investment opportunities and challenges. Kwa kifupi umetuvua nguo na huko kwa wenzetu tunaonekana kituko.Ukifuatulia vizuri mjadala huu wachangiaji wenye Ushawishi na waidhinishaji wa mkataba huu wenye Ushawishi. Ukiacha wateuliwa wanaoshabikia kikatiba na kichama. Wengi wao Hawana hata division one kwenye matokeo ya form four.
Kwanini hata wizara ya Fedha wakachukuana wale wale wenye matokeo Tata. Kwanini wasichague wasiyo na matokeo Tata?
Hebu wa Jaribu hata faraja Kotta Uwaziri wa Fedha tuone.
Tena tumewageuzia makalioMi naona kinyume chake. Mkataba huu ni tester ya uelewa wa watanzania. Wengi wetu hawajyi chochote kuhusu mambo ya Biashara, Uwekezaji wa kimataifa na general understanding ya global investment opportunities and challenges. Kwa kifupi umetuvua nguo na huko kwa wenzetu tunaonekana kituko.
Wawakilishi wapii? Hawahawa std 7 ,form 4 failures na degree za michongo?Kwakweli tumeamua kuwakabidhi nchi wanyang'anyi.... So painful..... Tulio amini kutetewa nao ndio wamekuwa vinara wa kutunyonga hadharani mchana kweupe. Hivi hao wawakilishi wetu mjengoni hawajaliona hili...?
Mimi namaanisha tunayolalmikia hayana msingi wowote zaidi ya ujinga tu. Sasa kweli mtu umesoma hadi umefikia PhD level then umeishi Tanzania na kuangalia namna regimes zinavyobadilisha sera zao katika uwekezaji. Utakuwa mpuuzi kuhoji why investor asitake Guarantee framework ya kulinda uwekezaji wake?Tena tumewageuzia makalio
Sehemu zote lazima Dp world Atie mpunga na Anakua na step.Mechanism ya kupata ni ipi mbona hakuna kiashiria cha mapato kuongezeka. Je wanabomoa na kujenga Bandari kubwa kabisa Duniani? Wanatangaza vyombo vya habari kuvutia Meli zije Dar es salaam port. Mnatupa matumaini wataleta hela kivipi au wanakuja na Uchawi upi kuongeza mpato
Kasome kilichomkuta Dp world Djibout, 2006 wamepewa Bandari, 2009 wakawajengea Bonge la Bandari, Djibout uchumi ukapaa Ghafla toka chini ya dola 1000 hadi kufika dola 3000 kwa kila mwananchi. Djibout walikua wanadaiwa na China, wakamfanyia figisu Dp world kipande cha Bandari wakampa mchina hadi leo kesi haziishi mahakamaniMimi namaanisha tunayolalmikia hayana msingi wowote zaidi ya ujinga tu. Sasa kweli mtu umesoma hadi umefikia PhD level then umeishi Tanzania na kuangalia namna regimes zinavyobadilisha sera zao katika uwekezaji. Utakuwa mpuuzi kuhoji why investor asitake Guarantee framework ya kulinda uwekezaji wake?
Crane ni shilling ngapi kwanza. Na je tumeshindwa kununua crane?Sehemu zote lazima Dp world Atie mpunga na Anakua na step.
1. Step ya kwanza huwa ni kubadili mashine za Kupakia na kupakua,
2. Biashara ikiwa nzuri anachimba Bandari ama kuhamia kwenye Kina kirefu.
Akipewa Bandari kitu cha kwanza utaona Gati zinakua Improved.
Dubai bandari yao kubinafsishwa kwa makubaliano kama haya?Nipe sababu kwanini tutoe bandari
Sasa kwanini wasichue Bandari kilwa wakajenga Bandari harafu ikashindana na ya DSMKasome kilichomkuta Dp world Djibout, 2006 wamepewa Bandari, 2009 wakawajengea Bonge la Bandari, Djibout uchumi ukapaa Ghafla toka chini ya dola 1000 hadi kufika dola 3000 kwa kila mwananchi. Djibout walikua wanadaiwa na China, wakamfanyia figisu Dp world kipande cha Bandari wakampa mchina hadi leo kesi haziishi mahakamani
View attachment 2662243
Sasa hivi zaidi ya nusu ya Uchumi wa Djibout unatokana na Bandari.
Kwa hali hii Lazima mwekezaji aweke vipengele vya kumlinda
Bandari ya Dubai ni kampuni ya serikali kama vile tunavyomiliki shirika la Reli. Au air TanzaniaDubai bandari yao kubinafsishwa kwa makubaliano kama haya au nchi yoyote duniani wanaweza kukaa pale waandishi wao wao wa habari, wabunge, Mawaziri, viongozi wa dini kuitetea upuuzi kama huu.
Rais wao kuwa kimya. Kama hiki kitu hakimhusu kama Ngorongoro, umeme, tozo, mfumuko wa bei, machinga?
Hi hivi nchi zote dhaifu duniani zenye viongozi kama wewe wa hovyo zitapewa mkataba wa hovyo. Msiojua kusoma chochote.Kasome kilichomkuta Dp world Djibout, 2006 wamepewa Bandari, 2009 wakawajengea Bonge la Bandari, Djibout uchumi ukapaa Ghafla toka chini ya dola 1000 hadi kufika dola 3000 kwa kila mwananchi. Djibout walikua wanadaiwa na China, wakamfanyia figisu Dp world kipande cha Bandari wakampa mchina hadi leo kesi haziishi mahakamani
View attachment 2662243
Sasa hivi zaidi ya nusu ya Uchumi wa Djibout unatokana na Bandari.
Kwa hali hii Lazima mwekezaji aweke vipengele vya kumlinda