Kila CHADEMA wanalojaribu linabuma: La Lissu na Lema pia limebuma. Watanzania tunaendelea na maisha

Kila CHADEMA wanalojaribu linabuma: La Lissu na Lema pia limebuma. Watanzania tunaendelea na maisha

Alphonce Mawazo mlivyomuua alikua na cheo gani?

Kwa ustawi wa nchi yetu tunatakiwa kushughulika na wahalifu mmojammoja sio chama, wala dini


Tukianza kunyoosheana vidole kwa vyama tutagundua kila chama kina maumivu ya kupoteza mtu wao na haitasaidia wala haitajenga utaifa wetu
 
Enhee embu tuambie mambo gani hayo maana huja zungumza lolote unapiga ukunga tu. Enhee nn kinaendelea Journalist?
 
Lema katawala Arusha miaka kumi akiwa salama kabisa sasa iweje leo kapoteza jimbo ndo aanze sakwa kutishiwa anatishwa na nani wakati hana lolote Arusha?
Choreograph za aina hii zinanifanya nithibishe kwamba, wanasiasa wamekwisha amini kwamba wana akili kuliko watanzania wengine. Lissu alilalama na kuomba kusindikizwa kurudi TZ. Baadaye karudi na kuingia kwenye kampeni, bila woga akaanza na matusi yake. Sasa eti anahofia usalama! Kwa ujumla naona tuna watu takataka ktk siasa.
 
Mkuu acha Lema aende wewe lete hao wawekezaji wako mfano wa DRC.
 
Choreograph za aina hii zinanifanya nithibishe kwamba, wanasiasa wamekwisha amini kwamba wana akili kuliko watanzania wengine. Lissu alilalama na kuomba kusindikizwa kurudi TZ. Baadaye karudi na kuingia kwenye kampeni, bila woga akaanza na matusi yake. Sasa eti anahofia usalama! KWa ujumla naona tuna takataka ktk siasa.
Well said. Hatuna wanasiasa wa upinzani Tanzania. Wanacheza na kumbe chorus a za mabeberu.
 
Tundu Lissu kapigiwa simu na mtu tu kampiga mkwara, akakimbilia Ubalozi wa Ujerumani. Hata hajui kuwa simu inaweza kuwa kapigiwa na teja tu wa Manzese!

Halafu mtu wa hovyo hivyo ndio anakushawishi ukashiriki maandamano haramu ya kupindua matokeo halali ya Uchaguzi ulikuwa huru na haki!
 
Mungu ameikusudia Nchi hii mambo Mazuri, shetwani kupitia maajenti wake nao wanaitolea udenda Nchi yetu

Kama Mungu alivyoijusuru Nchi yetu na korona, hawezi shindwa kushughurikia mipango ovu ya kishetani ya wapinzani uchwara wakiwa Chini ya mwamvuli wa Beberu
Ubarikiwe sana ndugu. Mungu atasikia maombi yetu 🙏🏾.
 
Lema katawala Arusha miaka kumi akiwa salama kabisa sasa iweje leo kapoteza jimbo ndo aanze
Lugha za kihuni na vijiweni kubuma ndiyo nini peleka huko vijiweni siyo home of great thinkers. Aluta continua ANC walipambana miaka 40 na zaidi walijaribu hili likashindwa walifungwa, waliuwawa, walikimbia uhamishoni (exile) kama nyie mnavyowafanyia washindani wenu wa kisiasa na makaburu wenye nguvu maradufu kuliko nyie wanasiasa uchwara msiotaka ushindani wala kukosolewa , kama hamtaki ushindani mngebaki na wake zenu nyumbani msipingwe na mtu. Election process siyo siku ya kutumbukiza kura ktk sanduku tu, kazi ya mwanasiasa inaanza mara baada ya uchaguzi kuisha.
 
Takataka za kijani from ccm
Nyie Wapinzani ambao hamjakubali matokeo mbona mna jazba hivyo!?
Mimi naona ni bora mngekubali matokeo, tupige kazi kufanya maendeleo ya Nchi.

Sisi wote ni marehemu watarajiwa; kwa maneno mengine, sisi sote tunapita hapa duniani, haijalishi uko chama gani. Tutakufa na kuviacha vyama vikiendelea.
 
Nao ni binadamu wenye moyo, ulidhani wao hawana soni. Miaka yote ya kujigamba ulitaraji wataweka wapi nyuso zao. Lazima wasepe kuficha aibu ya anguko lao. Hebu fikiri mbwembwe za mtu kama Nyarandu, aliyedhani ana IQ ya ahera atatembeaje Arusha, Dawa ni kuseps tu.
 
Waliosema wanatuchelewesha sasa famyeni kazi badala ya kutumia muda kuwaongelea walewale mliosema wanawapotezsa muda😂
 
Back
Top Bottom