Labda waone mapapai 100 barabarani,wakiona kuna watu barabarani hata 100 tu nchi tunaipoteza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda waone mapapai 100 barabarani,wakiona kuna watu barabarani hata 100 tu nchi tunaipoteza.
Kuna uchungu akiuawa mwanaccm, hao wengine sikitu.Kwa ustawi wa nchi yetu tunatakiwa kushughulika na wahalifu mmojammoja sio chama, wala dini
Kada wa CCM auawa kwa kupigwa risasi Kibiti
Kibiti. Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Bungu wilayani hapa, Alife Mtulia ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana akiwa nyumbani kwake.www.mwananchi.co.tz
![]()
KADA MWINGINE WA CCM AUAWA RUFIJI - Mtanzania
Mtanzania KADA MWINGINE WA CCM AUAWA RUFIJI -mtanzania.co.tz
Kada wa CCM adaiwa kuuawa kwenye vurugu
MTU mmoja amefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa ambao wanadaiwa kuwa ni makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kutokea vurugu za kisiasa katika mji wa Tunduma mkoani Songwe.www.ippmedia.com
![]()
Tukianza kunyoosheana vidole kwa vyama tutagundua kila chama kina maumivu ya kupoteza mtu wao na haitasaidia wala haitajenga utaifa wetu
Acha huyo tuu, Mawazo alitishwa akaona uzushi akauwawa mchana kweupe na wahusika wengine wako bungeni hadi leo. Lissu alitishwa akasema hawakujali akashambuliwa mchana kweupe na kama Mungu asingekataa Leo ingekuwa historia na wapanga shambulio wapo na wengine wanaishi kwa kodi zetu kwa raha mustarehe. Nk nk.Ben Saanane .
Kwa akili yako huoni threat ya Lema kwa utawala kwani ni ndogo.Lema ana threat gani hadi wamdhuru? Sasa hivi ni mtu wa kawaida, mwenyekiti wa kitongoji kamzidi cheo
Na wewe ulishatishiwa? Mbona hujakimbia au uko mbioni kukimbia?Acha huyo tuu, Mawazo alitishwa akaona uzushi akauwawa mchana kweupe na wahusika wengine wako bungeni hadi leo. Lissu alitishwa akasema hawakujali akashambuliwa mchana kweupe na kama Mungu asingekataa Leo ingekuwa historia na wapanga shambulio wapo na wengine wanaishi kwa kodi zetu kwa raha mustarehe. Nk nk.
Kisha hawa wajinga toka CCM wanabeza vitisho ili wanaotishwa wasijihami wauwawe.
Kuiba kura, nonsenseWaambie. Kipigo walichokipata cha kushindwa uchaguzi hawatakisahau mpaka wanaingia kaburini
Unafurahia udhalimu, kulia kupokezana, time will tellWengine washaanza kulala kwa mabwana zao wa kijerumani wakisingizia kutishiwa maisha.
Kwa hiyo kwa akili yako matokeo ya uchafuzi huu yalikuwa sahihi? Kama hakuwa na uwezo wa kufikisha kura hizo figisu kwa mawakala zilikuwa za nini? Kura feki kwenye mabegi za nini? Kukataa kubandika matokeo kwa nini?Hata tulipokuwa tunawaambia Lisu havuki 20% mlikuwa mnatukana kama hivi!
Subiri uone sasa kama kina Lema wataambulia chochote,
Sijatishwa na mamlaka maana mie sio mwanasiasa na pia sio tishio kwa utawala.Na wewe ulishatishiwa? Mbona hujakimbia au uko mbioni kukimbia?
Mmenyooshwa tu acheni kutoa sababu uchwara.Kwa hiyo kwa akili yako matokeo ya uchafuzi huu yalikuwa sahihi? Kama hakuwa na uwezo wa kufikisha kura hizo figisu kwa mawakala zilikuwa za nini? Kura feki kwenye mabegi za nini? Kukataa kubandika matokeo kwa nini?
Ngoja ninyamaze! Kubishana na maccm people might not notice the difference, who is the fool.
Wakubali matokea feki,cooked results why?Nyie wapinzani ambao hamjakubali matokeo mbona mna jazba hivyo!?
Mm naona ni bora mngekubali matokeo, tupige kazi kufanya maendeleo ya nchi.
Cc wote ni marehemu watarajiwa kwa maneno mengine cc sote tunapita hapa duniani, haijalishi uko chama gani. Tutakufa na kuviacha vyama vikiendelea.
We mbona unalala kwa bashiru?Wengine washaanza kulala kwa mabwana zao wa kijerumani wakisingizia kutishiwa maisha.
We jinga kweli kwani unapata faida gani ccm wakiendelea kutesa wananchi?Waambie. Kipigo walichokipata cha kushindwa uchaguzi hawatakisahau mpaka wanaingia kaburini