Rhz4567
JF-Expert Member
- Mar 16, 2018
- 4,893
- 6,599
Mabeberu wanakopa pia wanapewa misaada ila kiinchi chako hakina uwezo wa kuwakopesha mabeberu pia kiinchi chako hakina uwezo wa kuwapa misaada mabeberu.Ingekua vizuri ungewauliza wanaokopa wamepewa na nani hiyo mikopo.
Nakushauri usiidharau nchi yako kwa sababu yamtazamo wako binafsi. Kila nchi na utawala una mapungufu yake hapa chini ya uso wa dunia.
Chadema ikiingia madarakani migogoro ya kisiasa itakwisha??
Mimi siyo chadema wala sina chama chochote na sina mpango wowote wakujiunga na chama chochote.
Huna uwezo wa kunishawishi niipende Tz totally naichukia hii nchi SAbabu ni viongozi wenu kukosa uzalendo na nchi yenu