Kila CHADEMA wanalojaribu linabuma: La Lissu na Lema pia limebuma. Watanzania tunaendelea na maisha

Ingekua vizuri ungewauliza wanaokopa wamepewa na nani hiyo mikopo.

Nakushauri usiidharau nchi yako kwa sababu yamtazamo wako binafsi. Kila nchi na utawala una mapungufu yake hapa chini ya uso wa dunia.

Chadema ikiingia madarakani migogoro ya kisiasa itakwisha??
Mabeberu wanakopa pia wanapewa misaada ila kiinchi chako hakina uwezo wa kuwakopesha mabeberu pia kiinchi chako hakina uwezo wa kuwapa misaada mabeberu.

Mimi siyo chadema wala sina chama chochote na sina mpango wowote wakujiunga na chama chochote.

Huna uwezo wa kunishawishi niipende Tz totally naichukia hii nchi SAbabu ni viongozi wenu kukosa uzalendo na nchi yenu
 
Ulivyoandika hapo unaonekana dhahiri kuwa ww ni mtanzania. Ila kama ww sio mtanzania haya mambo ya Tanzania hayakuhusu.

ila kama ww ni mtanzania sikushawishi uipende nchi yako bali nimekushauri. Una haki ya kufanya maamuzi yako binafsi.

Sawa, cc hatuwakopeshi pesa mabeberu ila wananufaika na madini yetu. Kama wao wanajitosheleza mbona walikua wakichukua mchanga ule wa makinikia na kuupeleka nchini mwao??

Angalizo, usiidharau Tanzania, madini ya Tanzanite yanapatikana Tanzania pekeyake hapa duniani.
Mm sidharau nchi yoyote hapa duniani hata kama nchi hiyo ina uongozi mbaya.
 
Dhuluma ni mbaya sana! Ukishamwaga damu, unakuwa na hamu ya kumwaga damu daima kwani ndivyo laana hii ilivyo!
 
Ni sahihi kabisa mleta mada, ushahidi upo wa kutengeneza kwao matukio, rejea yaliyokea Dodoma baada ya mbowe kufanya mambo yake na kulalama kashambuliwa na watu. Aibu yao Sana.

AJENDA YAO KUU NI KULICHAFUA TAIFA KIMATAIFA, na wameshindwa, Kama taifa tumeshaamua kuchapa kazi na kusonga mbele, MUNGU ibariki TANZANIA.
 
AMIIINA🙏🏾
 
Hata kule Zimbabwe kuna ass kissers wa Mugabe nao walikuwa wakiwadhihaki Tsvangirai na wenziwe hivi hivi. Mugabe yu wapi leo?
Na wafuasi wa Tsvangirai (alale pema) waliokuwa mawakala wa Mabeberu wako wapi
 
Ulivyoandika hapo unaonekana dhahiri kuwa ww ni mtanzania. Ila kama ww sio mtanzania haya mambo ya Tanzania hayakuhusu.

ila kama ww ni mtanzania sikushawishi uipende nchi yako bali nimekushauri. Una haki ya kufanya maamuzi yako binafsi.

Sawa, cc hatuwakopeshi pesa mabeberu ila wananufaika na madini yetu. Kama wao wanajitosheleza mbona walikua wakichukua mchanga ule wa makinikia na kuupeleka nchini mwao??

Angalizo, usiidharau Tanzania, madini ya Tanzanite yanapatikana Tanzania pekeyake hapa duniani.
Mm sidharau nchi yoyote hapa duniani hata kama nchi hiyo ina uongozi mbaya.

Mimi ninaizarau kwasababu viongozi wake si wazalendo,si wakweli nk

Hayo makinikia yanakufaidisha nini?
Hizo Tanzanite zinakunufaisha nini?

maccm na mabeberu wanashirikiana kuwaminya hao wanyonge,endelea kudanganywa na hao maccm
nakusii amka kutoka usingizini tangu mwaka 1961 Hadi sasa bado Sera za maccm ni zilezile!
 
Kama viongozi sio wazalendo wasingeenda kuomba fidia na % ya umiliki wa migodi ya kampuni ya Barrick.

Halafu nahisi ww bado upo kwenye ucngizi ule mzito unaota, sababu hata hujui mchezo uliokua ukifanyika kwenye usafirishaji wa mchanga wa makinikia. Pia hujui hata tanzanite inakufaidisha nn ww kama mtanzania. Madawa hospitalini, huduma nyingine za kijamii (mfano, uchimbaji wa visima) vinapatikana wapi!
 
CHADEMA kama ilivyo kawaida yao ya kutunga na kutengeneza matukio ya uongo. Wamejaribu kutengeneza ya Lissu, Lema na Nyarandu lakini yote yamebuma.

Watanzania na wajanja duniani wamekwishawagundua kuwa ni walaghai. Wamebaki na kujipa moyo kwenye keyboards zao na vyombo vya habari uchwara vya Kenya ambavyo vina ajenda zao.

Baadhi ya WANACHADEMA na viongozi wao uchwara wanajaribu kutengeneza matukio ya uongo ili kuvuta attention ya wananchi lakini wapi, kila jaribio linabuma. Wengine humu wanashinda kutwa nzima kwenye JF, facebook, Twitter na hata Badoo lakini habari zao zinapuuzwa tu. Watanzania wana akili na Jumuiya ya kimataifa pia zinaakili na zinatambua utoto wenu.

Nawashauri fanyeni kazi. Uchaguzi umeisha.

Mwenyezi Mungu akusamehe maana hujui usemalo!
 
Muhimu zaidi siyo mimi bali watanzania. Watanzania wanajua walifanyalo na ndiyo maana wameikataa CHADEMA na kumpa kura za kimbunga JPM. Hilo linatosha. Sauti ya watanzania imesikika
 
Lema, Nyarandu, Lissu na wengine wote waachwe wakimbilie huko wanakotaka kwenda kwa ‘usalama wao’.

Kitendo cha kuwazuia, kuwakamata na kuwasumbua bila sababu za msingi ndicho kinafofanya habari iwe kubwa sana, unnecessarily.
 
CHADEMA kama ilivyo kawaida yao ya kutunga na kutengeneza matukio ya uongo. Wamejaribu kutengeneza ya Lissu, Lema na Nyarandu lakini yote yamebuma.

Watanzania na wajanja duniani wamekwishawagundua kuwa ni walaghai. Wamebaki na kujipa moyo kwenye keyboards zao na vyombo vya habari uchwara vya Kenya ambavyo vina ajenda zao.

Baadhi ya WANACHADEMA na viongozi wao uchwara wanajaribu kutengeneza matukio ya uongo ili kuvuta attention ya wananchi lakini wapi, kila jaribio linabuma. Wengine humu wanashinda kutwa nzima kwenye JF, facebook, Twitter na hata Badoo lakini habari zao zinapuuzwa tu. Watanzania wana akili na Jumuiya ya kimataifa pia zinaakili na zinatambua utoto wenu.

Nawashauri fanyeni kazi. Uchaguzi umeisha.
Bro Mhe. Kasema hateui tena makada.

#YNWA
 
Nyie Wapinzani ambao hamjakubali matokeo mbona mna jazba hivyo!?
Mimi naona ni bora mngekubali matokeo, tupige kazi kufanya maendeleo ya Nchi.

Sisi wote ni marehemu watarajiwa; kwa maneno mengine, sisi sote tunapita hapa duniani, haijalishi uko chama gani. Tutakufa na kuviacha vyama vikiendelea.
Kama unajua wote tutakufa nakupita kwanini wengine wanatumia madaraka yao kufanya democrasia na chaguzi zionekane ni kitu cha kijinga.Inawezekana wewe ndie unayeyawaza hayo ya kufa nakupita ila kwa wenzako madaraka na vyeo kwao vinawafanya wajione wameshamaliza kila kitu duniani.
 
Sawa wameshindwa kwani umeambiwa dunia inaisha badaa ya ya wao kushindwa.safari ya mabadiliko haina kikomo.mmeshabaki wenyewe tunasubiri muigeuze nchi kama ulaya.miaka mitano sio milele.
 
Kama unajua wote tutakufa nakupita kwanini wengine wanatumia madaraka yao kufanya democrasia na chaguzi zionekane ni kitu cha kijinga.Inawezekana wewe ndie unayeyawaza hayo ya kufa nakupita ila kwa wenzako madaraka na vyeo kwao vinawafanya wajione wameshamaliza kila kitu duniani.
Nakubaliana na wewe na baadhi ya mambo uliyoandika hapo.
Ila kama kuna viongozi wanaofanya uchaguzi uonekane wa kijinga, basi kulikua na taratibu za kufuata kama hukubaliani na matokeo. Sio kutangaza maandamano yasiyo na kikomo, kutuchafulia hali ya hewa kisha kurudi ubelgiji.
 
Kama viongozi sio wazalendo wasingeenda kuomba fidia na % ya umiliki wa migodi ya kampuni ya Barrick.

Halafu nahisi ww bado upo kwenye ucngizi ule mzito unaota, sababu hata hujui mchezo uliokua ukifanyika kwenye usafirishaji wa mchanga wa makinikia. Pia hujui hata tanzanite inakufaidisha nn ww kama mtanzania. Madawa hospitalini, huduma nyingine za kijamii (mfano, uchimbaji wa visima) vinapatikana wapi!
Sasa dawa za hospital zinahusiana nini kwani hizo dawa wewe unapewaga bure?,visima gani hivyo?

Onasasa unavyojichanganya changanya

Nusu ya miradi ya serikali inafadhiliwa na mabeberu.
 
Nakubaliana na wewe na baadhi ya mambo uliyoandika hapo.
Ila kama kuna viongozi wanaofanya uchaguzi uonekane wa kijinga, basi kulikua na taratibu za kufuata kama hukubaliani na matokeo. Sio kutangaza maandamano yasiyo na kikomo, kutuchafulia hali ya hewa kisha kurudi ubelgiji.
Kwani katiba hiyohiyo iliyotugwa na ccm hairuhusu maandamano ya Amani?
 
Back
Top Bottom