Kila CHADEMA wanalojaribu linabuma: La Lissu na Lema pia limebuma. Watanzania tunaendelea na maisha

Kila CHADEMA wanalojaribu linabuma: La Lissu na Lema pia limebuma. Watanzania tunaendelea na maisha

Sasa dawa za hospital zinahusiana nini kwani hizo dawa wewe unapewaga bure?,visima gani hivyo?

Onasasa unavyojichanganya changanya

Nusu ya miradi ya serikali inafadhiliwa na mabeberu.
Watt chini ya miaka mitano wanalipia matibabu??.
Sio miradi yote ya mabeberu ni msaada. Kuna makubaliano ya malipo kati ya serikali na mabeberu.
 
Watt chini ya miaka mitano wanalipia matibabu??.
Sio miradi yote ya mabeberu ni msaada. Kuna makubaliano ya malipo kati ya serikali na mabeberu.
Makubaliano Sisi tunawapa madini wao wanatuachima mashimo na makinikia

Kumbe ni watoto under 5years kwanini isiwe madawa bure kwa wanyonge wote!
 
Hata kama katiba ya CCM inaruhusu, kwa mtazamo wako hayo maandamano yangekua ni ya amani kwa jazba ile ??
Kwahy unalazimisha maandamano ya jazba au

Wapinzani walitangaza hadharani watafanya maandamano ya Amani
 
Mimi ninaizarau kwasababu viongozi wake si wazalendo,si wakweli nk

Hayo makinikia yanakufaidisha nini?
Hizo Tanzanite zinakunufaisha nini?

maccm na mabeberu wanashirikiana kuwaminya hao wanyonge,endelea kudanganywa na hao maccm
nakusii amka kutoka usingizini tangu mwaka 1961 Hadi sasa bado Sera za maccm ni zilezile!
Yaani hujui madini yetu yanatusaidia nini? Tunashukuru watanzania waliwakataa, mngeweka rehani kila aina ya rasilimali yetu
 
Bro Mhe. Kasema hateui tena makada.

#YNWA
Tunasemea watanzania siyo kwa uteuzi. Bahati mbaya nyie na wenzako kila kitu mnakiona katika sura tu ya kunufaika nacho kifedha. Hata chama mligeuza kuwa SACCOS na kila siku kulamba mabeberu miguu
 
Makubaliano Sisi tunawapa madini wao wanatuachima mashimo na makinikia

Kumbe ni watoto under 5years kwanini isiwe madawa bure kwa wanyonge wote!
Nafurahi kuona unalitambua swala la kutuachia mashimo. Hapo utakua umejifunza kuwa mabeberu hawatoi misaada ya bure kama wengi wanavyofikiria.

Bado tunaijenga nchi yetu, Tanzania bado haijafikia uchumi wa juu kama developed countries wa kuwa na uwezo wa kutoa matibabu bure kwa wale wenye low income au wasiojiweza.
 
Hapana. Kwa jazba waliyoionyesha wapinzani baada ya kushindwa, hayo maandamano yasingekua na amani.
Huwezi kusema wapinzani walishindwa wakati mchakato wa kupiga Kura na kuhesabu Kura ulikuwa wa Wizi.

Hizo ni propaganda za maccm kudhani maandamano yangekuwa ya fujo
 
Nafurahi kuona unalitambua swala la kutuachia mashimo. Hapo utakua umejifunza kuwa mabeberu hawatoi misaada ya bure kama wengi wanavyofikiria.

Bado tunaijenga nchi yetu, Tanzania bado haijafikia uchumi wa juu kama developed countries wa kuwa na uwezo wa kutoa matibabu bure kwa wale wenye low income au wasiojiweza.
Serikali ya ccm inapewa misaada baada ya hapo wanatoa dhahabu au siyo
Over
 
Huwezi kusema wapinzani walishindwa wakati mchakato wa kupiga Kura na kuhesabu Kura ulikuwa wa Wizi.

Hizo ni propaganda za maccm kudhani maandamano yangekuwa ya fujo
Wewe ulitaka nani ashinde, CUF, Chadema au ACT Wazalendo?? Maana inaonekana vyama hivyo vilitakiwa kushinda ila CCM kawaibia kura. Mlitaka nchi iwe na maraisi watatu au??

Kifupi, swala la kuibiwa kura ni propaganda za wapinzani.
 
Nilitaka yoyote ashinde kwa misingi ya uhalali,haki na uwazi

Huwezi akawatoa mawakala wa vyama vingine halafu utegemee ushindi utakuwa wa kihalali na kihaki.
 
Nilitaka yoyote ashinde kwa misingi ya uhalali,haki na uwazi

Huwezi akawatoa mawakala wa vyama vingine halafu utegemee ushindi utakuwa wa kihalali na kihaki.
Hizo ni propaganda za wapinzani
 
Sawa wameshindwa kwani umeambiwa dunia inaisha badaa ya ya wao kushindwa.safari ya mabadiliko haina kikomo.mmeshabaki wenyewe tunasubiri muigeuze nchi kama ulaya.miaka mitano sio milele.
Wanachadema mioyoni mwao wanataka Magufuli abadili Tanzania iwe kama Ulaya, kwa nje wanampinga. Huu ndiyo unafiki wao.
 
Tunasemea watanzania siyo kwa uteuzi. Bahati mbaya nyie na wenzako kila kitu mnakiona katika sura tu ya kunufaika nacho kifedha. Hata chama mligeuza kuwa SACCOS na kila siku kulamba mabeberu miguu
Sorry mi sina chama.
Ila nilikua najaribu tu kukumbusha kauli ya Mhe.

#YNWA
 
CHADEMA kama ilivyo kawaida yao ya kutunga na kutengeneza matukio ya uongo. Wamejaribu kutengeneza ya Lissu, Lema na Nyarandu lakini yote yamebuma.

Watanzania na wajanja duniani wamekwishawagundua kuwa ni walaghai. Wamebaki na kujipa moyo kwenye keyboards zao na vyombo vya habari uchwara vya Kenya ambavyo vina ajenda zao.

Baadhi ya WANACHADEMA na viongozi wao uchwara wanajaribu kutengeneza matukio ya uongo ili kuvuta attention ya wananchi lakini wapi, kila jaribio linabuma. Wengine humu wanashinda kutwa nzima kwenye JF, facebook, Twitter na hata Badoo lakini habari zao zinapuuzwa tu. Watanzania wana akili na Jumuiya ya kimataifa pia zinaakili na zinatambua utoto wenu.

Nawashauri fanyeni kazi. Uchaguzi umeisha.
Lipi la CCM lilishawahi fanikiwa na kuwa faida kwa nchi??? Kulwa ujinga, umaskini na wizi ndio faida. Ninaposema CCM tuna akili uharo ndio hizi. Mtu kavimbiwa kande za mboga anakuja tu kuhara humu. Unaijua CCM wewe. Mjinga wa hedi.
 
Back
Top Bottom