WE ARE ANONYMOUS
JF-Expert Member
- Mar 23, 2015
- 217
- 283
Badala ya hizo crypto, serikali iongeze hazina ya Dhahabu na Almasi, technology ina change kwa speed kali kuliko unavyowaza and bitcoin is like a bubble, one day wenye pini (CIA) wakiamua kulitoboa litapasuka pwaaaa!!!Kwenye innovation hawataweza maana wameshindwa hata kuiwezesha tovuti ya NIDA iwe user friendly wataweza kweli kutengeneza block chain yao solution ya haraka ni serikali kununua hizi coin za bitcoin haraka iwezekanavyo na private key zitunzwe kwa mkuu chato
CIA hawawezi kuitoboa wakati ndio wako nyuma ya hiyo kituBadala ya hizo crypto, serikali iongeze hazina ya Dhahabu na Almasi, technology ina change kwa speed kali kuliko unavyowaza and bitcoin is like a bubble, one day wenye pini (CIA) wakiamua kulitoboa litapasuka pwaaaa!!!
Kwa nchi zenye akili zilinunua bitcoin tokea ilipokua inauzwa chini ya 1USD!! Na sio hivyo tu, zimeenda mbali zaidi na kuwekeza kwenye blockchain technology kuhakikisha hawabaki nyuma!Huu ushauri unaonekana kama mojawapo ya ushauri wa kijinga sana lakini kuna siku mtanikumbuka
Tena kama inawezekana waanze mapema sana mwaka huu ikiwezekana hata kwa kuuza ile Airbus inayoshinda imepaki
over
Unaelewa maana ya "decentralized"? alafu una maanisha nini unaposema CIA ndiye mwenye mpini?Badala ya hizo crypto, serikali iongeze hazina ya Dhahabu na Almasi, technology ina change kwa speed kali kuliko unavyowaza and bitcoin is like a bubble, one day wenye pini (CIA) wakiamua kulitoboa litapasuka pwaaaa!!!
CIA anahusika vipi na bitcoin?CIA hawawezi kuitoboa wakati ndio wako nyuma ya hiyo kitu
Afadhari hata JK alikuwa anaelewa dunia inaendaje lakini huyu ngosha yeye anajua uchumi ni hardware (ndege,madaraja,maviwanja ya ndege nk.)Kwa nchi zenye akili zilinunua bitcoin tokea ilipokua inauzwa chini ya 1USD!! Na sio hivyo tu, zimeenda mbali zaidi na kuwekeza kwenye blockchain technology kuhakikisha hawabaki nyuma!
Kama hujui juzi juzi BoT imetoa tangazo la kupiga marufuku crypto na matumizi yake hapa nchini, sasa jiulize kwa nchi yenye mtazamo huu itafwata ushauri wako kweli?
CIA anahusika vipi na bitcoin?
Unaelewa maana ya "decentralized"? alafu una maanisha nini unaposema CIA ndiye mwenye mpini?
Naona hukunielewa,....Mimi mwenyewe nina Ethereum token yangu mzee, so don't ask me about decentralized. Kuhusu uhusika wa CIA na Bitcoin, endelea kufuatilia utaelewa, na sijasema mpini, nimesema pini (inayotoboa puto)
Wakati serikalo yako inepoga marufuku mambo ya bitcoinHuu ushauri unaonekana kama mojawapo ya ushauri wa kijinga sana lakini kuna siku mtanikumbuka
Tena kama inawezekana waanze mapema sana mwaka huu ikiwezekana hata kwa kuuza ile Airbus inayoshinda imepaki
over
Hii kitu iliibuka mwaka 2009 wakati wa financial crisis huko US halafu nadharia zote za blockchain zilikuwa zimeandikwa na watafiti wa kimarekani miaka kadhaa kabla ya bitcoin kuibuliwa na mtu aliyejipa jina la bandia la SATOSHI NAKAMOTOUnaelewa maana ya "decentralized"? alafu una maanisha nini unaposema CIA ndiye mwenye mpini?
Alafu unashangaza, kama unajua maana ya decentralized inakuaje unasema CIA ndio wenye pini?Mimi mwenyewe nina Ethereum token yangu mzee, so don't ask me about decentralized. Kuhusu uhusika wa CIA na Bitcoin, endelea kufuatilia utaelewa, na sijasema mpini, nimesema pini (inayotoboa puto)
CIA hana uhusiano wowote wala mamlaka juu ya bitcoin. Hii ndio point yangu ya msingi.Hii kitu iliibuka mwaka 2009 wakati wa financial crisis huko US halafu nadharia zote za blockchain zilikuwa zimeandikwa na watafiti wa kimarekani miaka kadhaa kabla ya bitcoin kuibuliwa na mtu aliyejipa jina la bandia la SATOSHI NAKAMOTO
Naona umechanganywa hapo na decentralized lakini kaa utambue kuwa bado developer wa hii blockchain ya bitcoin anao uwezo wa kufanya mabadiliko na alishawahi kufanya hivyo miaka michache nyuma kwahiyo hilo neno decentralized lisikutawanye ubongoCIA hana uhusiano wowote wala mamlaka juu ya bitcoin. Hii ndio point yangu ya msingi.
Tatizo siyo kununua/kuwekeza kwenye Bitcoin au Blockchain la hasha Bali Tunajua au tunauwezo wa Kuogelea kwenye Kina kirefu......????Kwa nchi zenye akili zilinunua bitcoin tokea ilipokua inauzwa chini ya 1USD!! Na sio hivyo tu, zimeenda mbali zaidi na kuwekeza kwenye blockchain technology kuhakikisha hawabaki nyuma!
Kama hujui juzi juzi BoT imetoa tangazo la kupiga marufuku crypto na matumizi yake hapa nchini, sasa jiulize kwa nchi yenye mtazamo huu itafwata ushauri wako kweli?
Unamfahamu huyo Satoshi Nakamoto? Siku utakayofahamu identity halisi ya Satoshi Nakamoto ndio utafahamu uhusika wa CIA na Bitcoin.Alafu unashangaza, kama unajua maana ya decentralized inakuaje unasema CIA ndio wenye pini?
Aisee..!! Nadhani ni sahihi kukubaliana kuto kukubaliana.Unamfahamu huyo Satoshi Nakamoto? Siku utakayofahamu identity halisi ya Satoshi Nakamoto ndio utafahamu uhusika wa CIA na Bitcoin.
tupe data mkuu maana kama naachwa iviUnamfahamu huyo Satoshi Nakamoto? Siku utakayofahamu identity halisi ya Satoshi Nakamoto ndio utafahamu uhusika wa CIA na Bitcoin.
tupe maelezo mkuuNaona mnanizungumzia! Haya leteni hoja zenu zenye nguvu, niulizeni maswali yenu niwafafanulie uhusiano wa Bitcoin algorithm na mark of the beast 666