Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu Cryptocurrency na Bitcoin na kwanini siyo uwekezaji mzuri kwako kwa sasa

Jamaa uelewi wewe ,any currency in electronic form ukitaka iwe cash lazima ilose a certain value kwako mtoaji , iwe dollar ,shilling euro yen ...

Hata ma Mpesa na Tigo pesa yana makato kibao
Issue ya hasara au faida kwenye kiuza na kununua bitcoin ni
akili zako tu kama unavoendesha duka unaweza ukala hasara au faida depending on how smart you make ur investment ...

Kama wewe ulikula hasara don't discourage others ,may be you are not a smart investor

Issue ya faida au hasara kwenye biashara yoyote ni individual thing usitishe watu kwa maelezo yako ya uongo wakaona may be crypto zote n scam while sio hivyo
 
Mkuu hata bureau de change zinauza pesa na kununua pesa kwa rate tofauti tofauti sijui unashangaa nini hapa
 
Mkuu kuna bitcoin INA vary value yake kutokana na factor mbalimbali. Alichosema jamaa ni kutoa ushauri kwa MTU anaetaka kufanha investment ni vizuri usubiri bei ikiporomoka below average then ununue kwa kiasi kidogo cha fedha


Then unahold ur coins hadi peak period nyingine kuuza ili upate faida mfano alienunua bitcoin Feb -march alinunu kwa bei 3500-4000 USD

This month inarange 7500-800 USD
Huoni anapata faida ya 100%
 
Unajua nini mkuu hakuna system ambayo ina wahuni wa kutapeli watu katika mitandao kama mfumo wa bitcoin.

Sababu kubwa ni rahisi kwa mtu yoyote kujifanya anauza bitcoin akaanzisha website ya wallet na kujifanya muuzaji.

Na pia si kila anayesema anauza ni tapeli hivyo ukitaka kununua fata hatua hizi.

1.Fahamu kampuni au website inayo uza bitcoin kiundani,itafute katika google pia icheki katika mitandao ya majadiliano (forums) mbalimbali duniani sikiliza malalamiko ya watu kuhusu kampuni hiyo au website hiyo.

2.Anza kuwekeza kidogo usiweke mzigo mkubwa hadi pale utakapo jiridhisha na huduma zao.

3.Ulizia watu ambao tayari wapo katika biashara wakushauri ni kampuni gani au website gani ina usalama katika kuuza na kununua.

Zipo site nyingi salama duniani kuuza na kununua bitcoin lakini pia zipo za kitapeli kibao

Umakini unatakiwa sana hivyo siwezi mshari mtu mtandao ambao sijawahi tumia kama kuna mtu anaufahamu huu ulio itaja na kaujaribu atatusaidia kutuhakikishia usalama wake.

Fatilia kabla hujanunua watafute kwenye google
Vipi mkuu kukunua kwenye mtandao wa localbitcoin.com
ni salama kweli
 
I strongly blv in Crypto.
I also invest 30% of my monthly earnings in crypto.
Hoping that, this world will one day be cryptosphere.
 
Huu ushauri unaonekana kama mojawapo ya ushauri wa kijinga sana lakini kuna siku mtanikumbuka

Tena kama inawezekana waanze mapema sana mwaka huu ikiwezekana hata kwa kuuza ile Airbus inayoshinda imepaki

Hizi issue za cryptocurrency sio za kuzichukulia poa kabisa ona nchi kama North Korea wanavyozitumia kuepuka vikwazo vya mmarekani

Serikali kama ingetenga tsh bilioni 500 wakaziweka kwenye crypto trading ingeweza kufund nusu ya bajeti yake kuliko kuhangaika kwenda kuomba pesa kwa mabeberu


over
 
Huu ushauri unaonekana kama mojawapo ya ushauri wa kijinga sana lakini kuna siku mtanikumbuka


over
Na ni wa kijinga kweli kweli!
Badala ya kusema Serikali itenge pesa ije na innovation yake ya blockchain technology wewe unashauri inunue bitcoin?
Looks like umekua too inspired na umeijua juzi juzi!
 
Na ni wa kijinga kweli kweli!
Badala ya kusema Serikali itenge pesa ije na innovation yake ya blockchain technology wewe unashauri inunue bitcoin?
Looks like umekua too inspired na umeijua juzi juzi!
Kwenye innovation hawataweza maana wameshindwa hata kuiwezesha tovuti ya NIDA iwe user friendly wataweza kweli kutengeneza block chain yao solution ya haraka ni serikali kununua hizi coin za bitcoin haraka iwezekanavyo na private key zitunzwe kwa mkuu chato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…