Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu PC games

CHIEF MKWAWA samahani unaweza nina 270 nielekeze ninunue desktop gani ya ukweli hapa na monitor ya ukweli ,key bord ya ukweli pia na mouse ya ukweli just funguka tu kaka nipe specs bro nifanye yangu baba kisha nilete mrejesho mkuu.
 
CHIEF MKWAWA samahani unaweza nina 270 nielekeze ninunue desktop gani ya ukweli hapa na monitor ya ukweli ,key bord ya ukweli pia na mouse ya ukweli just funguka tu kaka nipe specs bro nifanye yangu baba kisha nilete mrejesho mkuu.
unataka ya kufanyia nini? budget hio pamoja na monitor, keyboard na mouse unapata mashine ya core 2 duo au core 2 quad

kuna hii hapa pia sio mbaya ukaiangalia 255,000 ni i5

http://www.discountkubwa.com/produc...-core-i5-processor-3-1ghz-2gb-250gb-dvd-write

ila inavyoonekana haina monitor, kwa bei hio i5 yoyote ni deal nzuri
 
Chief nimedownload C O D black ops 1 ikagoma play inasema steam must be running to play this game nnatumia hp 4gb ram i3
 
Chief nimedownload C O D black ops 1 ikagoma play inasema steam must be running to play this game nnatumia hp 4gb ram i3
hilo game halina folder limeandikwa crack? linakuwa kwenye setup ya game au hata linaweza kuandikwa jina jengine. ndani yake utakuta mafile mawili yameandikwa steam kayapaste kwenye folder ambalo game limekuwa installed
 
Nina flash yangu tangia jana inasumbua. Ukiichomeka kweny pc, haisomi hata ukienda kweny my computer haionekani. Lkn kipind naichomeka inatoa mlio na taa inawaka lkn haionekani. Nimejaribu kuchomoa na kuweka tena na tena lkn bado tu iko vile vile
Je, inaweza kutengenezeka yaan ikasoma km mwanzo?
 
jaribu kuchomeka kwenye deki, tv, simu au kifaa chengine tofauti na pc uone kama itafunguka
 
Nnatatzo kama hilo na yangu inasoma kwenye radio. Mwanzo ilikuwa haifomatiki inaandika write protected nikajaribu kuiondoa ikashindikana sasa juz ndo imegoma kabisa ni sandisk 64 gb
 
Chief mkwawa kwa jinsi ulivyoshauri, hii pc yenye specifications hizi unaweza kuipata kwa bei gani?
 
QUOTE="masalu gusessa, post: 17168149, member: 369206"]Processor=intel(R) celeron(R) cpu 1000M @1.8GHz
RAM 2GB
Bit 64
Je mkuu naweza cheza game la fifa?? Na kwenye ile website yapo??[/QUOTE]
Processor=intel(R) celeron(R) cpu 1000M @1.8GHz
RAM 2GB
Bit 64
Je mkuu naweza cheza game la fifa?? Na kwenye ile website yapo??
tafuta fifa la 2014 na lipo kwenye hio website
 
Napata shida jinsi ya ku play pes 16 online... Hii kitu inakuaje naomba msaada ..... Maana nacheza na watu ambao nawafunga sana sasa natafuta competition online plz help me.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…