Kila Machi 17 kwanini isiwe Magufuli Day?

-Legacy ya mchapakazi ni kuchapa kazi.

-Badala ya kumpumzika nyumbani,ni vema wafanyakazi wote (wanaofanya kazi kwa masaa maalum),waongeza saa mbili za kufanya kazi;hiyo 17/03/ ya kila mwaka.

-Wakulima na wafanyabiashara wao Wana utaratibu wao wa kuchapa kazi.

-Serikali ifanye mapitio ya siku za mapumziko,zipo nyingi.
 
Naunga mkono hoja kwa mapana.
 
Naomba ikae kwenye records:
Hiyo tarehe ikipitishwa... siku chache kabla au baada au tarehe yenyewe kutakuwa na maafa makubwa sana!

Kila mwaka kuanzia watakapoanza maadhimisho hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…