Kila Machi 17 kwanini isiwe Magufuli Day?

Hapana kwa kweli, huyo mtu hastahili kuwekewa siku yake ya kukumbukwa, wacha akumbukwe tu na Jesca, kama taifa tuna mengi ya kukumbuka, ubakaji wa demokrasia, mauaji ya watu, utekaji nyara, mashambulizi kwa wapinzani, wizi wa fedha za umma uliotukuka mf Tr 1.5, ukabila, nk
 
Wapi Ben Saanane ?

Kijana mwanafunzi wa Phd, inauma saana.
 
Mna uhakika kama alifariki machi 17?
 
Pumbavu, yaani tu vitu huto ndio kwako unaona ni uthubutu?

Hivi madaraja yamesimama kujengwa?
 
Alijenga kwa pesa zake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee. Koments zinatoa fundisho kubwaa
Ukitaka kujifunza usisome kitabu kimoja, vilevile ukitaka kujua jambo usisome gazeti moja.

Wewe unaposoma hizi one man in two or three id ndizo zinakuchanganya, toka jf nenda other forum ujue tabia za watu.

Wengine hatupati kimuemue kwa hawa chawa wanaoAct positive thinker.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ