Kila Machi 17 kwanini isiwe Magufuli Day?

Magufuli alikuwa ndio comedian of this century, kauli zake nyingi ni tata na vichekesho vitupu.

Utamsikia maendeleo hayana vyama.

Mara utamsikia wapinzani waliruchelewesha.

Mara uatamsikia haiwezekani mkurugenzi nikulipe mshahara nikupe na gari halafu utangaze mpinzani ameshinda.

For my opinion huyu mtu alikuwa ni mtu wa hovyo kabisa, katili na hakujari utu wa watu.

Tunamshukuru Mungu kwa kuingilia kati na kumtwaa nduli huyu ili wana wa nchi waweze kuishi kama binadamu.
 
Umeamua kujitoa ufaham kwa kuandika ugolo wenye sumu kuvu.
 
Hacha wivu wa kichawi . Nenda usome some upate angalau degree moja ugombee Uraisi ufie madarakani tukukumbuke kila mwaka
“Hacha” ndio lugha ya wapi na wewe?! Kwani kufia madarakani ndio kigezo cha kuwa na siku ya kukumbukwa.. !
Basi Marekani nao wangekuwa na Kennedy na Lincoln days.
We kama unajisikia kumkumbuka mtu, mkumbuke tu hujazuiwa. Ukitaka jipake hata unga au majivu usoni siku hiyo.
 
Naunga mkono hoja,na isiwe siku ya mapumziko,awe ni siku yakujitolea,kuchapa kazi na kuwassidia wanyonge,
 
Watumishi wa serikali ni wavivu kutwa mnapambana kupata siku za mapumziko na wakati wenzetu wanataka zipunguzwe muda hautoshi
Umenena mkuu, badala ya kujadili namna ya kuongeza uzalishaji na ufanisi ili tuweze kushindana kimataifa, wengine wanataka siku za mapumziko ziongezwe.
 
Kwabahati mbaya huwezi kuzuiya chochote zaidi ya kulialiatu humu pekeako.

Wajombazenu walikuwa mafisadi sasa umaskini unawatafuna kwasababu mlizoea kula na kujazamishavu kama wacheza mieleka.

Mkisikia jina la Magu mnasikia joto na haja.
Muendelee kulaaniwa na umaskini uwaandame mbaka mtakapo tubu kwa hujuma mlizo fanya na vyetivyenu feki.

Magu atakumbukwa daima.
 
Kuna Siku hii NCHI ITAKUWA NA SIKU 1 TU YA KUFANYA KAZI KWANI mara Nyerere day itakuja Mkapa day itakuja Karume Day na sasa Magufuli day
 
Hata wasipoweka me najua kila siku ni siku ya kumkumbuka Magufuli
na watanzania wengi wanamkumbuka kila siku.
Mungu amrehemu mpendwa wetu na jua anakula mema ya pepo huko aliko.
 
Itakuwa ni matumizi mabovu ya rasilimali za nchi
 

Naunga Mkono Hoja Hata Kama Wakikupinga Ila Anastahili[emoji3516][emoji736][emoji736][emoji123][emoji122]
 
Ni vizuri kuwa na makufuli day.lakini itoshe tu kwa mwasisi wetu wa taifa.baadaye tutakuwa na mkapaday na wengine.hivyo tuondokane na dhana hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…