πΉπΉ Wapi ndugu yangu majanga tupu..!!Hahahaha mbona wewe una tunyama π
Kwendraaa πΉWatakuja tu....Wana visirani haoπ€£π€£π€£
Nimelia sana πΉπΉYani mtu unajiita lamami ukose kuwa hivi kweli??π€ Unatupiga fixπ€£
View attachment 3295862
Sema nini nilikuona siku moja wewe ni pisi ya hatari hata kwenye tu tako tumekusamehe bure tuππΉπΉ Wapi ndugu yangu majanga tupu..!!
Mbele sichezi, nyuma sitikisiki..!!
Muhimu uhai traco kitu gani bhana..!! πΉπΉSema nini nilikuona siku moja wewe ni pisi ya hatari hata kwenye tu tako tumekusamehe bure tuπ
ππππ€£π€£π€£Kwendraaa πΉ
πΉπΉ Wapi ndugu yangu majanga tupu..!!
Mbele sichezi, nyuma sitikisiki..!!
Utajiju πΉππππ€£π€£π€£
Hahaha ni kweli lakini wanaojambia mbali huwa wanaringa sanaπMuhimu uhai traco kitu gani bhana..!! πΉπΉ
Uko sahihi kabisa. Pair za aina hii ni common sana, na mwembamba ndiyo anakuwaga ''brain'' wa huyo mwenye mzigo.Ukimuita tu huyo mdada utakasikia kanasema "aziza ebu twende tunacheleewa"
View attachment 3295844
Kwamba yeye mwenye mzigo anatikisa zigo tuπ ila akili ya tuende wapi ,tunase wapi ipo kwa mwembamba?Uko sahihi kabisa. Pair za aina hii ni common sana, na mwembamba ndiyo anakuwaga ''brain'' wa huyo mwenye mzigo.
Aziza alimzibia kwa chibongeMbona umeandika kwa hisia sana?
ππππππ hivi ni kwa nini huwaga hiviUkimuita tu huyo mdada utakasikia kanasema "aziza ebu twende tunacheleewa"
View attachment 3295844
Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake. Hao wembamba hiyo ndio kamba yao ya kupata mlo.Ukimuita tu huyo mdada utakasikia kanasema "aziza ebu twende tunacheleewa"
View attachment 3295844
Kabisa. Na nasemea kutokana na uzoefu. Nilikuwa na mwenye mzigo miaka ya nyuma na nilidumu naye. Ikatokea nikasafiri lakini bado nikawa nawasiliana naye. Akaja kufanya urafiki na chembamba mmoja, akawa anampelekesha kama gari. Mimi nikamwambia mwangalio huyo shoga yako, anakutumia kupata fedha, vinywaji na maslahi mengine kutoka kwa wanaume, hakunisikia. Ndivyo hivyo tena, wakajagombana baadae akataka turudiane nikamkatalia na kumkumbusha n nilivyomuonya hakusikia.Kwamba yeye mwenye mzigo anatikisa zigo tuπ ila akili ya tuende wapi ,tunase wapi ipo kwa mwembamba?
Hii ni kwel na wembamba wavutiwa kukaa na wenye zigo ili waokoteπKabisa. Na nasemea kutokana na uzoefu. Nilikuwa na mwenye mzigo miaka ya nyuma na nilidumu naye. Ikatokea nikasafiri lakini bado nikawa nawasiliana naye. Akaja kufanya urafiki na chembamba mmoja, akawa anampelekesha kama gari. Mimi nikamwambia mwangalio huyo shoga yako, anakutumia kupata fedha, vinywaji na maslahi mengine kutoka kwa wanaume, hakunisikia. Ndivyo hivyo tena, wakajagombana baadae akataka turudiane nikamkatalia na kumkumbusha n nilivyomuonya hakusikia.
Kweli kabisa na wengi wao wana gubu sanaUkimuita tu huyo mdada utakasikia kanasema "aziza ebu twende tunacheleewa"
View attachment 3295844