Kila mdada mwenye makalio makubwa ana huyo rafiki yake mwembamba mwenye mdomo sana

Hapo ukimtongoza kibonge huyo mifupa mitupu ndo anakua anamjibia, ukimwambia kibonge samahani naomba namba yako, mwenye mifupa mitupu anajibu unataka namba yake ya nini muache tamaa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…