TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
Umeona ehhBila tuhuma humu hutoboi mkuu🥴
Wee,sema kweli?Umesahau wana jf tuna tuhuma kuwa wote ni matajiri.... hakuna apeche alolo
HakikaUmeona ehh
Kiranga anatuhumiwa kwa swala la kumkataa Mungu!!Umeona ehh
Hayupo peke yake mkuu,sasa ‘em fikiria mwenyewe…yule jamaa anakaribia kugonga mwaka mahabusu akipigania haki..,Hivi huyo mtu akimkatia tamaa Mwenyezi Mungu utamlaumu kweli!?Kiranga anatuhumiwa kwa swala la kumkataa Mungu!!
hahahahahaBila tuhuma humu hutoboi mkuu🥴
Unatuhumiwa UMATONYAMimi ni mtuhumiwa wa kuomba mwenye pesa aseme nimpe lipa namba chap afanye maajabu
Inafikirisha hakikaHayupo peke yake mkuu,sasa ‘em fikiria mwenyewe…yule jamaa anakaribia kugonga mwaka mahabusu akipigania haki..,Hivi huyo mtu akimkatia tamaa Mwenyewe Mungu utamlaumu kweli!?
🤣fanya masihara nini 🤒hahahahaha
SanaInadikirisha hakika
Ulevi uliokithiri, unaanguka chali na meno umepigwa ngumiNa mim je ninatuhuma gan!?