Kila memba wa JF ni mshukiwa wa tuhuma fulani

Kila user wa JF ana tuhuma zinazomkabili, iwe kwa namna moja au nyingine.

Mshana Jr ni mtuhumiwa wa uchawi na ulozi.
Pascal Mayalla ni mtuhumiwa wa uchawa na kujipendekeza.
GENTAMYCINE ni mtuhumiwa wa kuwatukana watu na kujifanya much know.
Malaria 2 ni mtuhumiwa wa udini.

Kila ID ina tuhuma zake.

Tuhuma zinatokana na madai ya watu, hamna ukweli wowote kwenye tuhuma.
Vipi wewe?Umeshaletewa samansi ya tuhuma zako?
 
Ni wachawi.Utarudishiwa mimba zako zote uishi nazo kispoti.
Hii imenikumbusha miaka ile nikiwa Nkasi. Jamaa alimpa mimba Binti wa darasa la sita. Binti aliposhitukiwa kwao, akamtaja aliyempa mimba kwamba ni mwalimu mkuu msaidizi.

Wazazi walipomfuata akawajibu kwa jeuri , kama nimempa mimba, anirudishie mimba yangu.

Wazazi wakaindoka na Binti yao. Mwalimu mkuu msaidizi akajiona yeye ni bonge la mjanja .

Baada ya siku kadhaa akaanza kuonesha dalili zote za mimba. Miezi kadhaa mbele mashati yote hayamtoshi
 
Usituambie ticha bigi msaidizi alikuwa anatapika hovyo(morning sickness)na kuagiza pemba!?
 
Ni wachawi.Utarudishiwa mimba zako zote uishi nazo kispoti.
Kijiji chà Mpigamiti ndiyo kwetu. Nimezaliwa na kukulia hapo, na jando nimefundwa hapo.
1793681407641.png
 
Hii imenikumbusha miaka ile nikiwa Nkasi. Jamaa alimpa mimba Binti wa darasa la sita. Binti aliposhitukiwa kwao, akamtaja aliyempa mimba kwamba ni mwalimu mkuu msaidizi.

Wazazi walipomfuata akawajibu kwa jeuri , kama nimempa mimba, anirudishie mimba yangu.

Wazazi wakaindoka na Binti yao. Mwalimu mkuu msaidizi akajiona yeye ni bonge la mjanja .

Baada ya siku kadhaa akaanza kuonesha dalili zote za mimba. Miezi kadhaa mbele mashati yote hayamtoshi
Duh
 
Back
Top Bottom