Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
hahahaha,hapana ,hadi wewe una tuhuma? kweli si mchezo🤣fanya masihara nini 🤒
hahahaha,hapana ,hadi wewe una tuhuma? kweli si mchezo🤣fanya masihara nini 🤒
Nyingi sana mkuu na sizikatai maana wanasema ukitaka kujua tabia zako waulize majirani …they know you better than the way you know yourselfhahahaha,hapana ,hadi wewe una tuhuma? kweli si mchezo
Tuhuma ndio habari ya mjiniNyingi sana mkuu na sizikatai maana wanasema ukitaka kujua tabia zako waulize majirani …they know you better than the way you know yourself
And who cares🤓Tuhuma ndio habari ya mjini
Nobody cares... we don't give a damnAnd who cares🤓
😘ivo yaan 😉Nobody cares... we don't give a damn
Wewe unatuhumiwa kwa urembo.Na wewe pia unatuhumiwa kwa udini
Asante kwa tuhumaWewe unatuhumiwa kwa urembo.
Analalamika kwamba nyuzi zake zinafutwaKuna yule mtuhumiwa wa kuanzisha nyuzi za kuomba elfu 20
🤔Mimi ni mtuhumiwa wa kuomba mwenye pesa aseme nimpe lipa namba chap afanye maajabu
BICHWA KOMWE - anatuhumiwa kwa upinde wa rainbowKiranga anatuhumiwa kwa swala la kumkataa Mungu!!
Mbona tuhuma zako sio hizo?Mimi ni mshukiwa wa kugawa mbunye.