Kila memba wa JF ni mshukiwa wa tuhuma fulani

Kila memba wa JF ni mshukiwa wa tuhuma fulani

Kiranga anatuhumiwa kwa swala la kumkataa Mungu!!
Hiyo si tuhuma mkuu.

Hiyo ni falsafa yangu, natangaza mwenyewe, na wanaonifuatilia wanajua.

Tafuta tuhuma nyingine, isimame kwa uthabiti wa kimantiki usiopingika ama utakula za uso.

Hiyo unayoiita tuhuma haihesabiki kama tuhuma kwa sababu mimi mwenyewe nimeongelea sana falsafa hiyo.
 
Hiyo si tuhuma mkuu.

Hiyo ni falsafa yangu, natangaza mwenyewe, na wanaonifuatilia wanajua.

Tafuta tuhuma nyingine, isimame kwa uthabiti wa kimantiki usiopingika ama utakula za uso, hiyo inayoiita tuhuma haihesabiki kama tuhuma kwa sababu mimi mwenyewe nimeongelea sana falsafa hiyo.
Unatuhumiwa kuwa na mapepo wachafu
 
Kila user wa JF ana tuhuma zinazomkabili, iwe kwa namna moja au nyingine.

Mshana Jr ni mtuhumiwa wa uchawi na ulozi.
Pascal Mayalla ni mtuhumiwa wa uchawa na kujipendekeza.
GENTAMYCINE ni mtuhumiwa wa kuwatukana watu na kujifanya much know.
Malaria 2 ni mtuhumiwa wa udini.

Kila ID ina tuhuma zake.

Tuhuma zinatokana na madai ya watu, hamna ukweli wowote kwenye tuhuma.
Mimi sio mdini, mimi ni muislamu ambae nawahimiza watu kutenda mema, kutenda haki na kuwahimiza wasiokuwa waislam waingie ktk uislam
 
Kila user wa JF ana tuhuma zinazomkabili, iwe kwa namna moja au nyingine.

Mshana Jr ni mtuhumiwa wa uchawi na ulozi.
Pascal Mayalla ni mtuhumiwa wa uchawa na kujipendekeza.
GENTAMYCINE ni mtuhumiwa wa kuwatukana watu na kujifanya much know.
Malaria 2 ni mtuhumiwa wa udini.

Kila ID ina tuhuma zake.

Tuhuma zinatokana na madai ya watu, hamna ukweli wowote kwenye tuhuma.
Ukimkaza Mtu vizuri lazima tu kila mara atakuwa anakukumbuka hasa kwa Kukutajataja Mitaani na Mitandaoni ili ikiwezekana baadae Ukamkaze tena.
 
Back
Top Bottom