Kila memba wa JF ni mshukiwa wa tuhuma fulani

Kila memba wa JF ni mshukiwa wa tuhuma fulani

Kila user wa JF ana tuhuma zinazomkabili, iwe kwa namna moja au nyingine.

Mshana Jr ni mtuhumiwa wa uchawi na ulozi.
Pascal Mayalla ni mtuhumiwa wa uchawa na kujipendekeza.
GENTAMYCINE ni mtuhumiwa wa kuwatukana watu na kujifanya much know.
Malaria 2 ni mtuhumiwa wa udini.

Kila ID ina tuhuma zake.

Tuhuma zinatokana na madai ya watu, hamna ukweli wowote kwenye tuhuma.
Tuhuma zinatokana na madai ya watu, hamna ukweli wowote kwenye tuhuma🔥🔥🔥💪🏿
 
Subiri tarehe 6 kuna hukumu yako.
2c1bc631-6394-48f7-ab7f-f4eda3a59de0.jpeg
 
Hata sie wengine tusiokuwa na umaarufu tunatuhumiwa kwa mambo fulani tunayoyatolea maoni
 
Back
Top Bottom