TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
- Thread starter
-
- #61
Genta kama GentaUkimkaza Mtu vizuri lazima tu kila mara atakuwa anakukumbuka hasa kwa Kukutajataja Mitaani na Mitandaoni ili ikiwezekana baadae Ukamkaze tena.
Vipi wewe?Umeshaletewa samansi ya tuhuma zako?Kila user wa JF ana tuhuma zinazomkabili, iwe kwa namna moja au nyingine.
Mshana Jr ni mtuhumiwa wa uchawi na ulozi.
Pascal Mayalla ni mtuhumiwa wa uchawa na kujipendekeza.
GENTAMYCINE ni mtuhumiwa wa kuwatukana watu na kujifanya much know.
Malaria 2 ni mtuhumiwa wa udini.
Kila ID ina tuhuma zake.
Tuhuma zinatokana na madai ya watu, hamna ukweli wowote kwenye tuhuma.
Eti nawabwenga sana dada zaoVipi wewe?Umeshaletewa samansi ya tuhuma zako?
Mnajipa usugu?Nobody cares... we don't give a damn
Maisha ni hayahayaMnajipa usugu?
Utazijua hasira za kaka zao si siku nyingi.Eti nawabwenga sana dada zao
Ngoja niwajaze mimba kwanza ili wakija, waje na adabu zoteUtazijua hasira za kaka zao si siku nyingi.
Ni wachawi.Utarudishiwa mimba zako zote uishi nazo kispoti.Ngoja niwajaze mimba kwanza ili wakija, waje na adabu zote
🫰Mwagona uli?
Ana majibu Haya ✌️!Ajibu tununu au afile mnyampala.🫰Mwagona uli?
Hii imenikumbusha miaka ile nikiwa Nkasi. Jamaa alimpa mimba Binti wa darasa la sita. Binti aliposhitukiwa kwao, akamtaja aliyempa mimba kwamba ni mwalimu mkuu msaidizi.Ni wachawi.Utarudishiwa mimba zako zote uishi nazo kispoti.
Usituambie ticha bigi msaidizi alikuwa anatapika hovyo(morning sickness)na kuagiza pemba!?Hii imenikumbusha miaka ile nikiwa Nkasi. Jamaa alimpa mimba Binti wa darasa la sita. Binti aliposhitukiwa kwao, akamtaja aliyempa mimba kwamba ni mwalimu mkuu msaidizi.
Wazazi walipomfuata akawajibu kwa jeuri , kama nimempa mimba, anirudishie mimba yangu.
Wazazi wakaindoka na Binti yao. Mwalimu mkuu msaidizi akajiona yeye ni bonge la mjanja .
Baada ya siku kadhaa akaanza kuonesha dalili zote za mimba. Miezi kadhaa mbele mashati yote hayamtoshi
Kijiji chà Mpigamiti ndiyo kwetu. Nimezaliwa na kukulia hapo, na jando nimefundwa hapo.Ni wachawi.Utarudishiwa mimba zako zote uishi nazo kispoti.
DuhHii imenikumbusha miaka ile nikiwa Nkasi. Jamaa alimpa mimba Binti wa darasa la sita. Binti aliposhitukiwa kwao, akamtaja aliyempa mimba kwamba ni mwalimu mkuu msaidizi.
Wazazi walipomfuata akawajibu kwa jeuri , kama nimempa mimba, anirudishie mimba yangu.
Wazazi wakaindoka na Binti yao. Mwalimu mkuu msaidizi akajiona yeye ni bonge la mjanja .
Baada ya siku kadhaa akaanza kuonesha dalili zote za mimba. Miezi kadhaa mbele mashati yote hayamtoshi
Hatari mzee, mtoto anapiga mateke kinoma, punda akasomeUsituambie ticha bigi msaidizi alikuwa anatapika hovyo(morning sickness)na kuagiza pemba!?
Wewe jipe ushujaa tu halafu uje kwenye jukwaa la afya kuomba ushauri wa uvaaji mwema wa teneti/gauni la wajawazito.Kijiji chà Mpigamiti ndiyo kwetu. Nimezaliwa na kukulia hapo, na jando nimefundwa hapo.
View attachment 3703592
Nimecheka kama zuzu kaona jalala jipyaWewe jipe ushujaa tu halafu uje kwenye jukwaa la afya kuomba ushauri wa uvaaji mwema wa teneti/gauni la wajawazito.
Unatuhumiwa kwa kunipenda mimi hadi basi tu.Mimi sijui natuhumiwa nini hebu niambieni