TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
- Thread starter
-
- #81
Aisee, yote heriWewe jipe ushujaa tu halafu uje kwenye jukwaa la afya kuomba ushauri wa uvaaji mwema wa teneti/gauni la wajawazito.
Na wewe unatuhumiwa kuiba moyo wanguUnatuhumiwa kwa kunipenda mimi hadi basi tu.
Aisee... Bila ridhaa yako?Na wewe unatuhumiwa kuiba moyo wangu
Bora tufungwe wote.Muheshimiwa jaji akishindwa kabisa atubariki tuishi kwa amani.Na wewe unatuhumiwa kuiba moyo wangu
Alinipa yeye mwenyewe bila shuruti.Nakana tuhuma hii.Aisee... Bila ridhaa yako?
Bila ridhaa yangu yaniAisee... Bila ridhaa yako?
Tuhuma zinatokana na madai ya watu, hamna ukweli wowote kwenye tuhuma🔥🔥🔥💪🏿Kila user wa JF ana tuhuma zinazomkabili, iwe kwa namna moja au nyingine.
Mshana Jr ni mtuhumiwa wa uchawi na ulozi.
Pascal Mayalla ni mtuhumiwa wa uchawa na kujipendekeza.
GENTAMYCINE ni mtuhumiwa wa kuwatukana watu na kujifanya much know.
Malaria 2 ni mtuhumiwa wa udini.
Kila ID ina tuhuma zake.
Tuhuma zinatokana na madai ya watu, hamna ukweli wowote kwenye tuhuma.
Huu ni uongoAlinipa yeye mwenyewe bila shuruti.Nakana tuhuma hii.
Subiri tarehe 6 kuna hukumu yako.Tuhuma zinatokana na madai ya watu, hamna ukweli wowote kwenye tuhuma🔥🔥🔥💪🏿
Ila umeninyima mimi😭🙌🏿Mimi ni mshukiwa wa kugawa mbunye.
Subiri tarehe 6 kuna hukumu yako.
Wewe ni mtuhumiwa wa kugawa like hata kama mtu ametema pumba 🤣🤣🤣Mimi ni mtuhumiwa wa kuomba mwenye pesa aseme nimpe lipa namba chap afanye maajabu
Mie nawasambazia ma upendo tu! na hapa nimethibitisha tuhuma zangu nimekupa like tenaWewe ni mtuhumiwa wa kugawa like hata kama mtu ametema pumba 🤣🤣🤣
TrueTuhuma zinatokana na madai ya watu, hamna ukweli wowote kwenye tuhuma🔥🔥🔥💪🏿
Unatuhumiwa kwa kujimwambafaiMimi ni member pekee humu JF Sina tuhuma zozote Wala kukwazana na mtu yeyote iwe kujibizana. Nafaa kupongezwa na kupewa hata ka badge ka platinum🖐️