Kila Mtanzania asali, huenda kukawa na mtikisiko

Sote ni wapangaji Hakuna mwenye hati ya kuishi milele,Kama unatoa roho za wenzio nawe itatolewa,kifo pekee ndo uunganisha mtawala na mtawaliwa, tajiri na masikini.
Maisha ya dunia ni ya kuukimbiza upepo.

Utakuwa umenifananisha na kina manjagata, tz mbogo, na wale wengine lb7?

Usitake ncheke.

Mbona utakuwa umenipa sifa za ujenerari wakati hata ukuruta chapa nyau chapa vumbi sina?

Hiiiii bagosha!
 
Huyu jamaa anachukuwa mitandaoni tu au hata kwenye maisha ya kawaida?

Maana sielewi amsha amsha ninayoiona mitandaoni ni tofauti na kwenye maisha halisi..!
 
So? Kipi ni kipi?
 
Uko sahihi kama mtu atatafakari na kuweka itikadi ya kidini pembeni

Ni lazima tujisaidie kwanza huku tunaomba Mungu. Huwezi sema Mungu nisaidie chakula bila wewe kulima. Hatuwezi sema Mungu tusaidie kuezeka darasa bila kuonyesha juhudi za kuchangia mabati na hapo ndipo Mungu atabariki njia zako za kupata hicho cha kuchangia maana umeweka nia.
Hakuna sadaka ilobora kama kuchangia elimu maana itakwamua jamii toka umaskini
 
Mbona mnapenda kutia watu hofu nyie watu !!
 
Nachoona ni updated post, sasa huo utabiri uliotimia uko wapi wazee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…