Kila Mtanzania asali, huenda kukawa na mtikisiko

Lumumba fanyeni kweli basi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taifa lipo IMARA kuliko WAZANDIKI wanavyofikiri.
Hakuna lolote endeleeni na maisha kwa wale wenye nia njema na nchi yenu kila kitu kipo under control.

TAIFA HILI LIPO KWENYE MSINGI WA MAWE SIO TOPE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania tuna chakula cha kutosha nchi zote za ukanda huu zinatutegemea.
 
Matapeli wa dini mnajilisha upepo
 
Sote tutapita. Tanzania itabaki. Tukumbuke hilo [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Mojawapo ya uzi wenye kusababisha taharuki.
Mleta mada omba mods wafute uzi huu.
 
Tusitishane,,mtikisko wa Nini kwa mfano?
 

Huu ni upuuzi. Vatican wamefunga makanisa. Saudi Arabia wamefunga misikiti. Nyie wanafiki ambao mchana mnaimba jina la Mungu usiku mna tunguri ndo mwajifanya wacha Mungu? Acheni dhihaka hizi.
 
Sisi tupo pamoja na Rais kwamba Mungu lazima aendelee kuabudiwa na yeye ndiyo tegemeo letu,lkn nyinyi mnaolaumu hv mnataka rais afanye Nini kwa Sasa? Mbona hamtoi muongozo mmebaki kulaumu tu? Huu ugonjwa mbona haukuanzia Tz? Kuna jambo gani marekani na ulaya wamelifanya ambalo TZ hatukulifanya? Hao waliopiga watu lockdown kwann vifo bado vinaendelea tena kwa kiwango Cha kutisha? Nasema hv sisi tutafuata maelekezo ya wataalam lkn kuabudu Mungu hatuachi, yeye tu ndo atakaetuepusha inshaallah.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…