KERO Kila mtoto anatakiwa aende na kiasi cha Tshs 1,500 (Shule ya Msingi Makabe)

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Tunafahamu juhudi za serikali katika kuhakikisha watoto wote wanaotoka katika familia duni wanapata elimu na ndio maana serikali ilisema marufuku michango ya aina yoyote katika shule za serikali.

Hii imekua tofauti katika shule ya msingi Makabe ambapo kumeanzishwa mitihani ya kila weekend na kila weekend watoto wanatakiwa waende na pesa kwaajiri ya kufanya hiyo mitihani.

Kila mtoto mmoja anatakiwa aende na kiasi cha Tshs 1500 hivyo kama una watoto wawili kila kila wiki inabidi uandae Tshs 3000

Kwa mwingine Tshs 1500 ni pesa ndogo sana ila kuna mwingine hiyo pesa kwake ni kubwa sana mana unaweza kuta hana ajira ya kueleweka, sasa awaze kuitafutia familia walau mlo mmoja na wakati huo huo waalimu wanasubiri awapelekee hiyo 1500 kila wiki kwaajiri ya mitihani.

Serikali kupitia wizara husika naamini mpo humu na mtaluona hili andiko langu, naomba mtusaidie mana mtihani ni muhimu lakini hii ya kila wiki tena unatakiwa ulipie kiukweli inatuumiza baadhi yetu ambao hali zetu ni duni sana kwasasa.

Kibaya zaidi mtoto asipoenda kufanya hiyo mitihani weekend kwakukosa pesa Jumaatatu akienda shule wanampiga kwamba kwanini hakuenda.

Naamini serikali yetu ni sikivu sana itaenda kulifanyia kazi hili suala kwa haraka mana ni zaidi ta kero, wao walimu wana mishahara sasa wanadhani kwamba kila mtu anapokea mshahara.

Ahsante
Sasa mkuu mtoto si wako huyo? Unampenda kweli mwanao? Yani buku jero unalia namna hii na mtoto ni wako? Wewe angalia usizae watoto wengi hamna cha bure na kwenye elimu jitaidi sana usiwe mvivu kutoa pesa iyo ni damu yako na unamuandalia yeye mazingira mazuri
 
Kuna private uchwara ada laki 6 kwa mwaka
Serikali waweke mifumo mizuri ya elimu na wazazi tutafute hela tuwapeleke watoto wetu shule bora
Laki sita kutwa au bweni. Usafiri na chakula je ? Ndani ya 600 000 kweli hiyo haipo labda kutakua na hidden expences
 
Condom 3 alfu 2000
Means ukipiga goli nne unafwata ya pili 4000 hio peleken hizo 1500

Mnasema masikinj huku mnalipa bia 3 kwa sikuu bar 6000 si .weziuoo kwa mtoto wako akasome

 Lipenibanaaaaa
 
Hutaki wafanye mitihani.!? Kama unataka unataka wafanye katika mazingira gani!?

Mwalimu aandae maswali,akachape na ku print mitihani bure!? Wapi watamfanyia hiyo kazi bure!?

Hata kama ni motisha,hutaki wajitafutie motisha,kweli buku jero ni ya kuja kulia hapa.
 
Unakuta mtoa mada ana mchepuko kila siku anampa 10,000 ya matumizi, No pain no Gain, ukitegemea elimu bure utawaumiza watoto wako
Umeona mkuu yaani mtoto aombe 3000 nianze kumwambia Sina na wakati unahonga Malaya 15,000 guest 20,000 Bado anakuachia gono unaenda kutibu Kwa sh 30,000 Hadi 50,000 unaend bar na washikaji mnatumia 50,000 halaf unakuja kulalamika kuhus 1500 Tena Kwa mtoto wako
 
We ni mjinga mmoja tu unaefanya bragging. Life is not easy to everybody,
Its not bragging man, hatufanani mkuu na usilazimishe tufanane Feza kuna wazazi wanalipia 11m kwa mwaka ada na 2m swiming lessons, kuna wanao enda study tour ya nje ya nchi wanalipia $5000 usikasirike mkuu just find your level plz. But life has to move on,
 
Bundle la kuweka simu la 1000/1500 unalo ila la hela ya mtihani hamna.Kutoa buku kwenda kununua pombe kali mnazo,kuchangia shughuli zipo 1000/1500 hamna.Wakulaumiwa sio walimu ni wizara husika walimu hao wanafanya kazi ngumu kwa malipo kiduchu na kwenye mazingira mabaya
 
Kweli umemchambua vizuri buddle ya 2000 haraka ikiisha ila masuala ya shule anafungua uzi loh.
 
Its not bragging man, hatufanani mkuu na usilazimishe tufanane Feza kuna wazazi wanalipia 11m kwa mwaka ada na 2m swiming lessons, kuna wanao enda study tour ya nje ya nchi wanalipia $5000 usikasirike mkuu just find your level plz. But life has to move on,
Umesema “ kusomesha si utajiri ni moyo” so mtu atoe damu mtoto afanye pepa?
 
Umeona mkuu yaani mtoto aombe 3000 nianze kumwambia Sina na wakati unahonga Malaya 15,000 guest 20,000 Bado anakuachia gono unaenda kutibu Kwa sh 30,000 Hadi 50,000 unaend bar na washikaji mnatumia 50,000 halaf unakuja kulalamika kuhus 1500 Tena Kwa mtoto wako
Na hapo unakuta mama zao kila siku kuchangishana shughuli za uswahili sijui kibao kata nk ila kwenye mambo ya muhimu ya shule 1000/1500 mtu anakuja kulia huku.Tunaelewa kuna ambao wanashida mfano mayatima ila majority ya hawa watu kwenye mambo ya elimu hawayapi kipaumbele,hawa wakisikia kuna chakula cha bure wanataka hadi kunawishwa mikono
 
Umesema “ kusomesha si utajiri ni moyo” so mtu atoe damu mtoto afanye pepa?
Kwa 1500 tu ulalamike huo ni uchizi kwa mtu anae jua gharama za elimu, na nimefurahi wadau wamemshambulia na amekimbia uzi wake.....watu tuwahamasishe tu.
 
Tunafahamu juhudi za serikali katika kuhakikisha watoto wote wanaotoka katika familia duni wanapata elimu na ndio maana serikali ilisema marufuku michango ya aina yoyote katika shule za serikali.

Hii imekua tofauti katika shule ya msingi Makabe ambapo kumeanzishwa mitihani ya kila weekend na kila weekend watoto wanatakiwa waende na pesa kwaajiri ya kufanya hiyo mitihani.

Kila mtoto mmoja anatakiwa aende na kiasi cha Tshs 1500 hivyo kama una watoto wawili kila kila wiki inabidi uandae Tshs 3000

Kwa mwingine Tshs 1500 ni pesa ndogo sana ila kuna mwingine hiyo pesa kwake ni kubwa sana mana unaweza kuta hana ajira ya kueleweka, sasa awaze kuitafutia familia walau mlo mmoja na wakati huo huo waalimu wanasubiri awapelekee hiyo 1500 kila wiki kwaajiri ya mitihani.

Serikali kupitia wizara husika naamini mpo humu na mtaluona hili andiko langu, naomba mtusaidie mana mtihani ni muhimu lakini hii ya kila wiki tena unatakiwa ulipie kiukweli inatuumiza baadhi yetu ambao hali zetu ni duni sana kwasasa.

Kibaya zaidi mtoto asipoenda kufanya hiyo mitihani weekend kwakukosa pesa Jumaatatu akienda shule wanampiga kwamba kwanini hakuenda.

Naamini serikali yetu ni sikivu sana itaenda kulifanyia kazi hili suala kwa haraka mana ni zaidi ta kero, wao walimu wana mishahara sasa wanadhani kwamba kila mtu anapokea mshahara.

Ahsante
Ngojea waje matajiri uchwara wa Jf kuja kukushambulia, jiandae kuambiwa kaanae nyumbani mwanao,hamna cha bure,nk nk.

Jf ina majitu matahira sana
 
Majirani zangu kila ijumaa mtoto anatakiwa aende na 1000 ya mtihani siku zingine 500 ya tuition
Kuanzia darasa la kwanza mpaka la saba.

Mtoto asipoenda nayo anachapwa fimbo
Darasa moja wanafunzi mia au 70, piga hesabu sh. Ngapi hapo

Karatasi copy moja tsh. 100, aisee kweli hamna elimu bure
 
Sasa mkuu mtoto si wako huyo? Unampenda kweli mwanao? Yani buku jero unalia namna hii na mtoto ni wako? Wewe angalia usizae watoto wengi hamna cha bure na kwenye elimu jitaidi sana usiwe mvivu kutoa pesa iyo ni damu yako na unamuandalia yeye mazingira mazuri
Walimu wa shule za kayumba wamedhidi na hawana utu kabisa, pale secondary ya kawe ukwamani wanawanyima wazazi report za watoto wao kisa hawajatoa elfu tano za walimu wakujitolea,tena wazazi wengine unakuta ni masikini haswa
 
Condom 3 alfu 2000
Means ukipiga goli nne unafwata ya pili 4000 hio peleken hizo 1500

Mnasema masikinj huku mnalipa bia 3 kwa sikuu bar 6000 si .weziuoo kwa mtoto wako akasome

 Lipenibanaaaaa
Huna akili
 
Lipeni jambo dogo hilo sana mtihani anafanya mwanao kwa 1500 tu unakuja kulalamika, hizo mentality za ujamaa msipo ziacha utashindwa kuichi katika mfumo wa ubepari.
Wangeweka iwe ya hiari na mtoto asiye na fedha asichapwe/asiadhibiwe.
 
Walimu wa shule za kayumba wamedhidi na hawana utu kabisa, pale secondary ya kawe ukwamani wanawanyima wazazi report za watoto wao kisa hawajatoa elfu tano za walimu wakujitolea,tena wazazi wengine unakuta ni masikini haswa
Hatareeeeee duuh
 
Back
Top Bottom