Ila watu wa jf mna ujuaji mwingi sana,,,mtoa mada katoa kero yake ambayo sio lazima iwe ni changamoto kwake binafsi lkn huenda inawakilisha wazazi wengine ambao wanachangamoto hiyo
Wewe uliyejaaliwa kipato kizur na cha uwakika usidhani kila mtu yupo hivyo kuna wengine hali ni mbaya sana hata kula yao ni shida,,sasa mtu kama huyu hiyo buku miatano ni kitu kikubwa sana kwake na asisimangwe kwakuwa hana.
Mnatoa povu kana kwamba hamjui maisha ya watanzania wengi kuwa wana hali mbaya,,ebu mjaribu kuwafikiria na wengine tafadhali
Na mtu akitoa mada muijadili kama mada na si kumshambulia mtu binafsi,,,naamini tumeelewana