Utawala2025
JF-Expert Member
- Oct 20, 2023
- 1,144
- 2,755
Waelekeze si ndo hawa hawaandai hata kumi mbovu kwa wake zao wanasema kujifungua bureElimu Bure ilikuwa wakati wa mwalimu Nyerere sio leo hii, ukiambiwa elimu Bure usichukulie serious ni maneno na propaganda za siasa na wanasiasa
Acha umqsikini buku ndo ya kuja kulalaamika humu hivi unamnunulia chili mkeo kweliTunafahamu juhudi za serikali katika kuhakikisha watoto wote wanaotoka katika familia duni wanapata elimu na ndio maana serikali ilisema marufuku michango ya aina yoyote katika shule za serikali.
Hii imekua tofauti katika shule ya msingi Makabe ambapo kumeanzishwa mitihani ya kila weekend na kila weekend watoto wanatakiwa waende na pesa kwaajiri ya kufanya hiyo mitihani.
Kila mtoto mmoja anatakiwa aende na kiasi cha Tshs 1500 hivyo kama una watoto wawili kila kila wiki inabidi uandae Tshs 3000
Kwa mwingine Tshs 1500 ni pesa ndogo sana ila kuna mwingine hiyo pesa kwake ni kubwa sana mana unaweza kuta hana ajira ya kueleweka, sasa awaze kuitafutia familia walau mlo mmoja na wakati huo huo waalimu wanasubiri awapelekee hiyo 1500 kila wiki kwaajiri ya mitihani.
Serikali kupitia wizara husika naamini mpo humu na mtaluona hili andiko langu, naomba mtusaidie mana mtihani ni muhimu lakini hii ya kila wiki tena unatakiwa ulipie kiukweli inatuumiza baadhi yetu ambao hali zetu ni duni sana kwasasa.
Kibaya zaidi mtoto asipoenda kufanya hiyo mitihani weekend kwakukosa pesa Jumaatatu akienda shule wanampiga kwamba kwanini hakuenda.
Naamini serikali yetu ni sikivu sana itaenda kulifanyia kazi hili suala kwa haraka mana ni zaidi ta kero, wao walimu wana mishahara sasa wanadhani kwamba kila mtu anapokea mshahara.
Ahsante
Sasa ripoti ya nini na hela umegoma kulipa watu wana uhaba wa walimu unaambiwq uchange elfu 5 nayo unaleta shidaWalimu wa shule za kayumba wamedhidi na hawana utu kabisa, pale secondary ya kawe ukwamani wanawanyima wazazi report za watoto wao kisa hawajatoa elfu tano za walimu wakujitolea,tena wazazi wengine unakuta ni masikini haswa
Kosa la mzazi mtoto anakula mboko🤣Majirani zangu kila ijumaa mtoto anatakiwa aende na 1000 ya mtihani siku zingine 500 ya tuition
Kuanzia darasa la kwanza mpaka la saba.
Mtoto asipoenda nayo anachapwa fimbo
Tafuta hela umpeleke mtoto international sch.Kosa la mzazi mtoto anakula mboko🤣
Mm wanangu ntawa home school.Tafuta hela umpeleke mtoto international sch.
Acheni ufala serikali hazipeleki mafungu ya kueleweka.
Sasa walimu wasitunge mitihani au watoto wasile
Toa hela mtoto wa kiume, yaani kama 1500 inafanya ulie lie hiyo familia unahudumia vipi boss?Tunafahamu juhudi za serikali katika kuhakikisha watoto wote wanaotoka katika familia duni wanapata elimu na ndio maana serikali ilisema marufuku michango ya aina yoyote katika shule za serikali.
Hii imekua tofauti katika shule ya msingi Makabe ambapo kumeanzishwa mitihani ya kila weekend na kila weekend watoto wanatakiwa waende na pesa kwaajiri ya kufanya hiyo mitihani.
Kila mtoto mmoja anatakiwa aende na kiasi cha Tshs 1500 hivyo kama una watoto wawili kila kila wiki inabidi uandae Tshs 3000
Kwa mwingine Tshs 1500 ni pesa ndogo sana ila kuna mwingine hiyo pesa kwake ni kubwa sana mana unaweza kuta hana ajira ya kueleweka, sasa awaze kuitafutia familia walau mlo mmoja na wakati huo huo waalimu wanasubiri awapelekee hiyo 1500 kila wiki kwaajiri ya mitihani.
Serikali kupitia wizara husika naamini mpo humu na mtaluona hili andiko langu, naomba mtusaidie mana mtihani ni muhimu lakini hii ya kila wiki tena unatakiwa ulipie kiukweli inatuumiza baadhi yetu ambao hali zetu ni duni sana kwasasa.
Kibaya zaidi mtoto asipoenda kufanya hiyo mitihani weekend kwakukosa pesa Jumaatatu akienda shule wanampiga kwamba kwanini hakuenda.
Naamini serikali yetu ni sikivu sana itaenda kulifanyia kazi hili suala kwa haraka mana ni zaidi ta kero, wao walimu wana mishahara sasa wanadhani kwamba kila mtu anapokea mshahara.
Ahsante
Umetafsiri kauli yangu ndivyo sivyo.Mkuu hao wanafunzi wanaoambiwa waende na 1500 umewaona lakini?kama mwanafunzi anaenda shule na yeboyebo zimechakaa shati limebadilia rangi kabeba mfuko badala ya bag hiyo unadhani mzazi anauwezo wa kuitoa?
Hizi after school zinakura hela sana..mara swimming,mara karate mara football., mara music ili mradi wazazi tutoe hela tu .inakula hela kila week ... inaboa sanaMwanangu wa darasa la 3 wanaenda na kila jmos swiming lessons ni 30,000, meals 5000 usafiri 2000......kusomesha sio utajiri ni mwoyo na kujitambua hi nchi haina huruma.
Bukujero sio ishu lakini, mitihani ya kila week ni ya nini?Lipeni jambo dogo hilo sana mtihani anafanya mwanao kwa 1500 tu unakuja kulalamika, hizo mentality za ujamaa msipo ziacha utashindwa kuishi katika mfumo wa ubepari.
HApa adui sio shule, adui ni serikaliTunafahamu juhudi za serikali katika kuhakikisha watoto wote wanaotoka katika familia duni wanapata elimu na ndio maana serikali ilisema marufuku michango ya aina yoyote katika shule za serikali.
Hii imekua tofauti katika shule ya msingi Makabe ambapo kumeanzishwa mitihani ya kila weekend na kila weekend watoto wanatakiwa waende na pesa kwaajiri ya kufanya hiyo mitihani.
Kila mtoto mmoja anatakiwa aende na kiasi cha Tshs 1500 hivyo kama una watoto wawili kila kila wiki inabidi uandae Tshs 3000
Kwa mwingine Tshs 1500 ni pesa ndogo sana ila kuna mwingine hiyo pesa kwake ni kubwa sana mana unaweza kuta hana ajira ya kueleweka, sasa awaze kuitafutia familia walau mlo mmoja na wakati huo huo waalimu wanasubiri awapelekee hiyo 1500 kila wiki kwaajiri ya mitihani.
Serikali kupitia wizara husika naamini mpo humu na mtaluona hili andiko langu, naomba mtusaidie mana mtihani ni muhimu lakini hii ya kila wiki tena unatakiwa ulipie kiukweli inatuumiza baadhi yetu ambao hali zetu ni duni sana kwasasa.
Kibaya zaidi mtoto asipoenda kufanya hiyo mitihani weekend kwakukosa pesa Jumaatatu akienda shule wanampiga kwamba kwanini hakuenda.
Naamini serikali yetu ni sikivu sana itaenda kulifanyia kazi hili suala kwa haraka mana ni zaidi ta kero, wao walimu wana mishahara sasa wanadhani kwamba kila mtu anapokea mshahara.
Ahsante
Ajabu iliyoje, darasa la 1 naye ana tuitionMajirani zangu kila ijumaa mtoto anatakiwa aende na 1000 ya mtihani siku zingine 500 ya tuition
Kuanzia darasa la kwanza mpaka la saba.
Mtoto asipoenda nayo anachapwa fimbo
Naona walimu wamevamia uzi wako kuja kutetea uwizi wao..Tunafahamu juhudi za serikali katika kuhakikisha watoto wote wanaotoka katika familia duni wanapata elimu na ndio maana serikali ilisema marufuku michango ya aina yoyote katika shule za serikali.