Kila mtu aandike kitu ambacho anaamini watu wengi hawakijui

Ukiamka asubuhi unakuwa mrefu kuliko unavyoenda kulala mida kama hii
 
We jamaa!!
 
Mimi nimegundua star tv hawasomi habari mpaka itv waisome kwanza, ili waangalizie kichwa cha habari.

Pili nimegundua baskeli iliyotolewa break inakimbia sana kuliko yenye break.

Na wewe umegundua nini?
Atajuaje kuwa 'wengi' hawakijui? Je wengi ni wangapi na wa wapi?
 
Viongozi wa kiafrika wanaotumia akili za kuzaliwa na akili za kusoma darasani ni wachache sana kama wapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…