Kila mtu amezaliwa akiwa muislamu, ubatizo ndio unaomfanya mtu kuwa mkristu

Akili ya kikafiri utaiona tuu..
Unajua wewe tayali ushapumbazwa na ilmu dunya unajua hata maana ya hiyo kauli kama yeye ni muslim wa kwanza
 
..."Alisikika mbabu mmoja akiwa amevalia kanzu nyeupe na baragashia usoni kwenye kijiwe cha Gahawa Street".


Jinsi unavyoshangaa, ndivyo hivyo hivyo na mimi nilishangaa na kuacha mdomo wazi

Nawasilisha
Upumbavi ni mzogo kweli
 

Umeitoa wapi tafsiri hiyo?
 
..."Alisikika mbabu mmoja akiwa amevalia kanzu nyeupe na baragashia usoni kwenye kijiwe cha Gahawa Street".


Jinsi unavyoshangaa, ndivyo hivyo hivyo na mimi nilishangaa na kuacha mdomo wazi

Nawasilisha
Sasa wewe kama umezaliwa ukiwa mkristo kwanini ubatizwe na upewe namba?

Watoto wote ni waislam na ndio maana akifa bado mtoto hautaenda Jahanamu hata kama wazazi wako ni wakristo
 
Poor Brain hebu tuelezee hii hadithi vizur maana nikielezea mm naweza kukosea.

Ile ya Shetani kuingia msikitini wakat wa kuswali na kupuliza matako ya Waislam.
Kama unataka tuanze kutukanana hapa wallah mi naweza..
Mi sina imani hiyo ya kusema mtu akinichokoza nitulie..
Hakuna hadith inasema huo ujinga kwanza ndo mwanzo wa upinde hayo...

Sijawahi sikia hayo mambo ya kupulizwa na sijawahi pulizwa mkuu

Astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah
Daah we jamaa utachomwa moto sheeenzi kabisa
 
U
Ufuasi wa Dini ni utahira hasa kwa waafrica amka uliko lala acha kuamini hadithi za uongo za mtu mwehu eti mtume bullshit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…