Kila mtu amezaliwa akiwa muislamu, ubatizo ndio unaomfanya mtu kuwa mkristu

Naona Poor Brain kakupa like sijui ya nini maana swali langu sijajibiwa ...na yoyote tena ni swali dogo tu ...je nikija na maswali makubwa itakuwaje.
 
Napna Poor Brain kakupa like sijui ya nini maana swali langu sijajibiwa ...na yoyote tena ni swali dogo tu ...je nikija na maswali makubwa itakuwaje.
Unajibiwa kwa mfumo wa maandiko ili ieleweke hapa kuwa majadiliano nyetu yapo ndani ya vitabu nathin more
 
Unajibiwa kwa mfumo wa maandiko ili ieleweke hapa kuwa majadiliano nyetu yapo ndani ya vitabu nathin more
Jagina uwa ajibu chochote anachukua makabrasha ya kanisa katoliki na kuposti umu ..yamejaa upumbavu wa mungu mwenye nafsi 3 ....kwani swali langu lina uhusiano gani na hayo aliyo post...nieleweshe
 
Jagina uwa ajibu chochote anachukua makabrasha ya kanisa katolik9 na kuposti umu ..yamejaa upumbavu wa mungu mwenye nafsi 3 ....kwani swali langu lina uhusiano gani na hayo aliyo post...nieleweshe
Mkuu kukuelewesha wewe inahitaji mtu awe na iq kubwa sana...

Oky ebu naomba weka swali lako hapa clear in shortly description
 
Mohamed mwenyewe hakuwa muislamu mpaka alivyokutana na yule pepo kule pangoni.
 
Yes alikuwa kafiri kabla ya kusilimu
Yes alikuwa kafiri kabla ya kusilimu.
 
..."Alisikika mbabu mmoja akiwa amevalia kanzu nyeupe na baragashia usoni kwenye kijiwe cha Gahawa Street".


Jinsi unavyoshangaa, ndivyo hivyo hivyo na mimi nilishangaa na kuacha mdomo wazi

Nawasilisha
Umelogwa na waarabu sio bure... mimi nimezaliwa uhadzabeni huko singidani ndani ndani porini au usandaweni dodoma ndanindani... nakuwaje muarabu sasa? Mbona nazaliwa sijui kiarabu asipokuwa najua kihadzabe au kisandawe?
 
Hujui kwamba waislam mtatutoa sadaka wakristo na wayahudi ili tuingie motoni kwa ajili yenu. Hata uwe na dhambi nyingi kama mlima wewe utaleta Myahudi au mkristo atupwe kwenye moto kwa ajili yako.

“Allah atampa kila muislam myahudi au mkristo siku ya kiama na kusema,hii ni sadaka yako.(Muslim, Tawba 49).




Abu Musa' alisema kwamba mtume wa mwenyezi Mungu alisema(Amani iwe naye): Itakapofika siku ya kiama Allah atamletea kila muislam myahudi au mkristo na kusema: Hii ndiyo sadaka yako ya kukutoa kwenye moto wa jehanum.. (Sahih Muslim, Kitabu 037, Namba 6665)

Hakuna muislam atakufa kwenye moto wa jehanum,isipokuwa kwenye nafasi yake Allah atamweka Mkristo au Myahudi. Sahih Muslim kitabu 037,namba 6666.

Watakuja waislam siku ya kiama wenye dhambi nzito kama mlima, Allah atawasamehe na kwenye nafasi zao za motoni atawaweka Mkristo au Myahudi. Sahih Muslim kitabu 036,namba 6668.
 
..."Alisikika mbabu mmoja akiwa amevalia kanzu nyeupe na baragashia usoni kwenye kijiwe cha Gahawa Street".


Jinsi unavyoshangaa, ndivyo hivyo hivyo na mimi nilishangaa na kuacha mdomo wazi

Nawasilisha
Ulimkung'unta kofi au umeleta uzi bila ushuhuda?
 
Tuwekeee chain ya wapokezi wa hadithi ulizoziweka
 
Tuwekeee chain ya wapokezi wa hadithi ulizoziweka
Wewe leo huzikubali haditiza sahihi Bukhari!!??!! Nenda kasome kwenye vitabu vyenu kama mimi nimeandika uongo hapa . Yesu alikufa kwa ajili yetu,ila sisi (wakristo , wayahudi)tutachomwa kwa ajili yenu waislamu ili muione pepo .
 
Quran 2:34 - "Na tulipo waambia Malaika: Msujudieni Adam, wakamsujudia wote isipo kuwa Iblis, alikataa na akajivuna na akawa katika makafiri."
Hiki ni kituko cha karne:

Allah anawaambia malaika wamsujusie Adam:

Sasa hapo Ibilisi alihusikaje katika hilo agizo ?

Au malaika wa Allah ni Ibirisi ?

Ni wapi Ibirisi aliambiwa amsujudie Adam:

Hii Dini ni zaidi ya Kituko:
Dini iliyo asisiwa na Kiroja, kisicho fahamu hata hatima yake:
[ AL - AH'QAAF - 9 ]
Sema:
Mimi si kiroja miongoni mwa Mitume. Wala sijui nitakavyo fanywa wala nyinyi. Mimi nafuata niliyo funuliwa tu kwa Wahyi, wala mimi si chochote ila ni mwonyaji mwenye kudhihirisha wazi.
 
Yes alikuwa kafiri kabla ya kusilimu

Yes alikuwa kafiri kabla ya kusilimu.
Kama ni hivyo tambua mtu awezi kufikia daraja ya utume bila ya kufuata muongozo wa mwisho wa Mungu ambao mnajua wote kuwa muongozo wa mwisho wa mungu ni INJILI kabla ya kuja MSAHAFU.. sasa swali Utume wa Muhammadi umepatikana ndani ya kufuata ukafiri ?au injili.. Muhammad anajitambulisha kupata utume mara tu baada ya kutokewa na kiumbe pangoni ? Je Muhamad UKAFIRI WAKE ULIKOMA MUDA GANI HADI KUFIKIA DARAJA YA UTUME NA ALIFUATA MUONGOZO GANI WA MUNGU ULIO MWEZESHA KUFIKIA DARAJA YA UTUME KUMBUKA MSAHAFU NI MUONGOZO BAADA YA MUHAMMAD KUWA MTUME
Mkuu kukuelewesha wewe inahitaji mtu awe na iq kubwa sana...

Oky ebu naomba weka swali lako hapa clear in shortly description

Mkuu kukuelewesha wewe inahitaji mtu awe na iq kubwa sana...

Oky ebu naomba weka swali lako hapa clear in shortly description
SWALI SI ILI HAPA ...kuna mwenzako kajibu kuwa Muhammad alikuwa kafiri 😁😁 nakungoja na wewe nione majibu yenu yanavyo pingana kisha nakuja sasa kuwaonyesha ujinga wenu ...maana huyo aliye jibu kuwa Muhammad alikuwa kafiri ...kajibu akidhani ndiyo kajiokoa kumbe😁😁...kuna uislamu mwenzenu aliwai kuleta hoja juu ya ili swali alivyo ona mambo ni magumu alisema muhamadi AJAWAI KUSILIMU😁😁
SWALI👇
Kama ni hivyo hoja ya muhammad kuwa muislamu wa kwanza kwenye umma wake ni potovu sababu ni mbili
1)ikiwa sababu ni kila mtu uzaliwa muislamu sasa inakuwaje muhammad awe ni muislamu wa kwanza kwenye umma wake ....kwa sababu wakati muhammad anazaliwa kulikuwa na watoto walio zaliwa mbele yake ,kwa masaa, siku, miezi, na miaka mfano mtoto aliye zaliwa mwezi mmoja kabla ya kuzaliwa muhammad....huyo mtoto sini muislamu kwa mujibu wa hii kanuni ?

2) kama muhammad ni muislamu wa kwanza kati ya walio silimu? Hapa napo kuna swali la msingi ambalo kila nikiuliza JF napata majibu tofauti hata hayo majibu yote yana kwazo ndani yake ...hoja ipo hivi
A)kama muhammad ni muislamu wa kwanza kwenye kusilimu basi muhamadi alikuwa KAFIRI kabla ya kusilimu ...sasa nipeni jibu moja muhamadi ni muislamu wa kwanza KIVIPI ? adriz FaizaFoxy Malaria 2 Mufti kuku The Infinity Jagina Covax
 
Mababu zetu waliishi Afrika kwa maelfu ya miaka bila kuwa na hizi Dini alafu huo uislamu ukasubiri ipite miaka na miaka, vizazi na vizazi ndipo uletwe Afrika ambako vishapita vizazi maelfu vilivyokuwa na imani zao then useme watu hao walikuwa waislamu huu upuuzi wa wapi?.

Dini zote ni uzushi lkn uislamu ni dini ya hovyo kuliko hata hizi zingine
 
Wewe leo huzikubali haditiza sahihi Bukhari!!??!! Nenda kasome kwenye vitabu vyenu kama mimi nimeandika uongo hapa . Yesu alikufa kwa ajili yetu,ila sisi (wakristo , wayahudi)tutachomwa kwa ajili yenu waislamu ili muione pepo .
jibu swali unaloulizwa usikoromee watu,

Tuwekeee chain ya wapokezi wa hadithi ulizoziweka
 

Niliwajibu mara nyingi lakini mnakazania ubishi, baadaye mkipewa ukweli , mnanikoromoe niwache kuwaandikia kuhusu biblia . lakini sitowaacha kamwe mpaka kieleweke kusuka au kunyoa

Tafsiri ya Kiingereza ya sehemu ya kwanza ya aya: "Tuliwaambia malaika msujudie kwa Adamu: wakasujudu isipokuwa Iblis", inatupa picha kwamba Iblis alikuwa malaika. Qur'ani iliteremshwa kwa Kiarabu. Katika sarufi ya Kiarabu kuna kanuni inayojulikana kama Taghlib, ambayo kwa mujibu wake, ikiwa walio wengi ndio wanaohusishwa, basi hata walio wachache wanajumuishwa.


Kwa mfano, nikilihutubia darasa lenye wanafunzi 100 ambapo 99 ni wavulana na mmoja ni msichana, na nikasema kwa Kiarabu kwamba wavulana wasimame, basi msichana huyo pia anahesabika kama ameambiwa asimame. Sihitaji kumtaja yeye pekee yake.


Vivyo hivyo katika Qur’ani, wakati Allah alipowaamuru malaika, Iblis pia alikuwa miongoni mwao, lakini haikuwa lazima atajwe kando.

Hivyo basi, kwa mujibu wa sentensi hiyo, Iblis anaweza kuwa alikuwa malaika au hakuwa malaika.

Lakini tunapata kujua kutoka katika Surah Al-Kahf, sura ya 18, aya ya 50 kwamba Iblis alikuwa Jinni. Hakuna mahali popote katika Qur’ani ambapo inasemwa kuwa Iblis alikuwa malaika.



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…