Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
Mimi nakuamini boss 😎!Nikiwaambia mimi tajiri hamuamini, sijui ni wivu au Nini!
Na upendo wangu kwako ni wa wazi kabisa! Ni wewe unae amini!!Mimi nakuamini boss 😎!
Ni kama vile nikisema chukua chako mapema hawatufai tuwapumzishe wengine watanikatalia.Maisha yanatupitisha kwenye mengi sana, huwa nashangaa wakati mwingine unaandika kitu cha kawaida tu, ila watu wanareply haiwezekani, chai, uongo 😵. Mngejua, kuna mambo ya kustaajabisha watu wameyabeba moyoni, hawawezi tu kusema na hata wakisema hamtawaamini.
Anyway, hicho kibao kiwabururdishe (mimi langu la moyoni ambalo siwezi kulisema limetajwa kidogo kwenye huu wimbo)
View: https://youtu.be/0wfWPRXHodY?si=UdiX9gVt73qvhHAg
Uoga wenu yote ilikuwa wenge la woga wa kitoto,bila shaka mchana wa siku hiyo mlitoka juangalia movie la kichina la mafisiTuliwahi kuona Mimi na jamaa zangu3 fisi kavaa gauni na ana simu shingoni anatembea Kwa miguu2.
Hili tukio lilitokea kipindi tunamfuata dada alienda kufuata mbegu za viazi (marando) Kijiji jirani.
Tulimsubiri Hadi saa3 usiku mzee akatuambia mfuteni Mimi nilikuwa mtu wa mwisho Kwa ukubwa na nilikuwa mbele na tochi zile za zamani baada ya kuona nikajua nimeona mwenyewe tu sikusema hapohapo .
Tulipo enda kama dk2 aliyekuwa nyuma yetu akaniuliza Ina maana wewe hujaona hiyo kitu?
Nikamwambia twendeni kwanza tutaongea nyumbani. Muda kama dk20 dada tukampata anakokota baiskeli imeharibika.
Baada ya kufika nyumbani tukaanza kueleza Kila mtu na ni kweli Kila mtu aliona Ile fisi ya maajabu maana nilimulika kichwani sikuamini nilichoona ghafla nik
amlika chini badae akili ikaniambi nimlike zile nyayo ni kweli zilikuwa za fisi.
Tuliwaambia watu hakuna Aliye amini ila baada ya siku kadhaa kupita bibi Fulani akatuita tukiwa tunatoka shule na kutuuliza fln eti mliona Nini njiani siku Ile?
Nikasema hatukuona kitu jamaa mkubwa weru akasema tulikuona wewe!!
🤣 Hili nilikua na wasiwasi nalo, nafikiri unavuta muda tu upate katoto utakakokaanzisha wewe halafu ukaoeMimi ni kataa ndoa kimtindo
KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO🤣 Hili nilikua na wasiwasi nalo, nafikiri unavuta muda tu upate katoto utakakokaanzisha wewe halafu ukaoe
🤣