Kila mtu ana jambo lake ambalo anajua akilisema watu hawatamuamini

Kila mtu ana jambo lake ambalo anajua akilisema watu hawatamuamini

Mshangazi dot com

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
1,345
Reaction score
3,503
Maisha yanatupitisha kwenye mengi sana, huwa nashangaa wakati mwingine unaandika kitu cha kawaida tu, ila watu wanareply haiwezekani, chai, uongo 😵. Mngejua, kuna mambo ya kustaajabisha watu wameyabeba moyoni, hawawezi tu kusema na hata wakisema hamtawaamini.

Anyway, hicho kibao kiwabururdishe (mimi langu la moyoni ambalo siwezi kulisema limetajwa kidogo kwenye huu wimbo)

View: https://youtu.be/0wfWPRXHodY?si=UdiX9gVt73qvhHAg

Ni kama vile nikisema chukua chako mapema hawatufai tuwapumzishe wengine watanikatalia.
 
Tuliwahi kuona Mimi na jamaa zangu3 fisi kavaa gauni na ana simu shingoni anatembea Kwa miguu2.

Hili tukio lilitokea kipindi tunamfuata dada alienda kufuata mbegu za viazi (marando) Kijiji jirani.

Tulimsubiri Hadi saa3 usiku mzee akatuambia mfuteni Mimi nilikuwa mtu mdogo kuliko wengine na nilikuwa mbele na tochi zile za zamani baada ya kuona nikajua nimeona mwenyewe tu sikusema hapohapo .

Tulipo enda kama dk2 aliyekuwa nyuma yetu akaniuliza Ina maana wewe hujaona hiyo kitu?

Nikamwambia twendeni kwanza tutaongea nyumbani. Muda kama dk20 dada tukampata anakokota baiskeli imeharibika.

Baada ya kufika nyumbani tukaanza kueleza Kila mtu na ni kweli Kila mtu aliona Ile fisi ya maajabu maana nilimulika kichwani sikuamini nilichoona ghafla nik
amlika chini badae akili ikaniambi nimlike zile nyayo ni kweli zilikuwa za fisi.

Tuliwaambia watu hakuna Aliye amini ila baada ya siku kadhaa kupita bibi Fulani akatuita tukiwa tunatoka shule na kutuuliza fln eti mliona Nini njiani siku Ile?

Nikasema hatukuona kitu jamaa mkubwa wetu akasema tulikuona wewe!!
 
Tuliwahi kuona Mimi na jamaa zangu3 fisi kavaa gauni na ana simu shingoni anatembea Kwa miguu2.

Hili tukio lilitokea kipindi tunamfuata dada alienda kufuata mbegu za viazi (marando) Kijiji jirani.

Tulimsubiri Hadi saa3 usiku mzee akatuambia mfuteni Mimi nilikuwa mtu wa mwisho Kwa ukubwa na nilikuwa mbele na tochi zile za zamani baada ya kuona nikajua nimeona mwenyewe tu sikusema hapohapo .

Tulipo enda kama dk2 aliyekuwa nyuma yetu akaniuliza Ina maana wewe hujaona hiyo kitu?

Nikamwambia twendeni kwanza tutaongea nyumbani. Muda kama dk20 dada tukampata anakokota baiskeli imeharibika.

Baada ya kufika nyumbani tukaanza kueleza Kila mtu na ni kweli Kila mtu aliona Ile fisi ya maajabu maana nilimulika kichwani sikuamini nilichoona ghafla nik
amlika chini badae akili ikaniambi nimlike zile nyayo ni kweli zilikuwa za fisi.

Tuliwaambia watu hakuna Aliye amini ila baada ya siku kadhaa kupita bibi Fulani akatuita tukiwa tunatoka shule na kutuuliza fln eti mliona Nini njiani siku Ile?

Nikasema hatukuona kitu jamaa mkubwa weru akasema tulikuona wewe!!
Uoga wenu yote ilikuwa wenge la woga wa kitoto,bila shaka mchana wa siku hiyo mlitoka juangalia movie la kichina la mafisi
 
Uongo
images - 2024-03-28T101424.595 (1).jpeg
 
Mm jambo ninalolisemaga na watu hawaamini ,ni pale nikiwaambia mama mtt wangu alinibakaa na cku aliponibaka akapata mimbaa iliyoleta mtt ambaye ss ana miaka 9....

Wanakataaga kbs wanasema mwanaume awezi kubakwa ,ila ndio ukweli nilibakwa Kwa kuwekewa kilevi na mdada wa miaka 33 mm Nilikuwa na miaka 23
 
Back
Top Bottom