Kila mtu ana jambo lake ambalo anajua akilisema watu hawatamuamini

Mtoto mpuuzi sana Huyu hivi anaujua utamu wa kumalizia asali inayobaki kwenye chupa ndogo ya nyagi Huyu mubaba Huyu ๐Ÿค”
Hajui huyu ๐Ÿ˜‚ kwakua ashakubali ataishi tumempokea๐Ÿ˜‚ Intelligent businessman Raisi wa majobless pro max mratibu mipango nasema atafutwe kijana wa kumfunza games asahau depression ๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ
 
Msemaji muoga hafai, siku nyingine nakufukuza kwenye chama
Mimi kama semaji nasema mada wa semaji kutaka kufa imefungwa rasmi. Kwa kuzingatia Katiba yetu yoyote atakaye endeleza mada hiyo. Sheria Kali zitachukuliwa dhidi yake!

Sheria ni msumeno inakata mpaka Rais ๐Ÿ˜‚

Ole wake

Aishii sana Semaji la chama Cha Majobless
 
Hajui huyu ๐Ÿ˜‚ kwakua ashakubali ataishi tumempokea๐Ÿ˜‚ Intelligent businessman Raisi wa majobless pro max mratibu mipango nasema atafutwe kijana wa kumfunza games asahau depression ๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ
Mimi Kama makamu wa majobless nitakupa ofa๐Ÿ˜…uje kijijini uchukue kabinti kama miaka 18 kabikira makutupora uje na mbuzi bubu ilo ndo sharti
 
Ewaaa lini hiyo mkuu๐Ÿ˜‹, ofaa yangu au ya semaji๐Ÿ˜‚
Mkuu wewe kwa vile uko fit nitakupa singo maza wa kikulya Ila kwenye ngumi uwe fresh, Maana kina bhoke wanapiga mkono sio poa na chuchu zao ngumu kama pera bichi,
 
Mkuu wewe kwa vile uko fit nitakupa singo maza wa kikulya Ila kwenye ngumi uwe fresh, Maana kina bhoke wanapiga mkono sio poa na chuchu zao ngumu kama pera bichi,
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Siwawezi mkuu Bora niwe chingo tu๐Ÿ˜‚ Mimi na ugomvi hatuendani๐Ÿ˜‚
 
Chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ