Kila munu ave na kwao! Mtoto wa Mtwara mie nimedata kwa mtoto wa Simiyu msukuma nyantuzu! Nataraji kumuweka ndani

Phobia

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2021
Posts
1,156
Reaction score
1,819
Ama hakika imevutiwa na kudata na mtoto wa msukuma nyantuzu huku simiyu kwakweli ananinyima usingizi na wala siwezi kulala nikimuwazia yeye all time yaani weupe wake kwakweli unanikosha na kuniua haswa yaani sio poa kabisa ndugu zangu

Baada ya kumaliza chuo nilipata kazi kwenye shirika moja la Afya linalo deal na ukimwi huku kanda ya ziwa ndoto yangu ilikuwa kuoa nyumbani mtwara lakini huyu binti msukuma nyantuzu amechange mind set yangu japo mimi nikiwa mmoja wa watu wakiwadhihaki wasukuma aisee naombeni mnisamehe ndigu zangu

Ama hakika wanawake wengi wa kinyantuzu ni wazuri sana aisee nimeshindwa kuvumilia mungu akijaalia huyu binti wa kisukuma nyantuzu Ameniua,amenivutia yaani Now call me shemeji wa wasukuma
 
Hapo unasumbuliwa na uteja wa mapenzi, ngoja alosto ya kupenda iishe kwanza utuletee mrejesho bado unampenda au ulisukumwa na nyege kuoa
 
Ama hakika imevutiwa na kudata na mtoto wa msukuma nyantuzu huku simiyu kwakweli ananinyima usingizi na wala siwezi kulala nikimuwazia yeye all time yaani weupe wake kwakweli unanikosha na kuniua haswa yaani sio poa kabisa ndugu zangu

Baada ya kumaliza chuo nilipata kazi kwenye shirika moja la Afya linalo deal na ukimwi huku kanda ya ziwa ndoto yangu ilikuwa kuoa nyumbani mtwara lakini huyu binti msukuma nyantuzu amechange mind set yangu japo mimi nikiwa mmoja wa watu wakiwadhihaki wasukuma aisee naombeni mnisamehe ndigu zangu

Ama hakika wanawake wengi wa kinyantuzu ni wazuri sana aisee nimeshindwa kuvumilia mungu akijaalia huyu binti wa kisukuma nyantuzu Ameniua,amenivutia yaani Now call me shemeji wa wasukuma
Mwana_kubanga ayu'!
 
Ngoja mashoga wanakuja kukudissapoint na kameseji kao "KATAA NDOA"
 
Back
Top Bottom