Phobia
JF-Expert Member
- Mar 29, 2021
- 1,156
- 1,819
Ama hakika imevutiwa na kudata na mtoto wa msukuma nyantuzu huku simiyu kwakweli ananinyima usingizi na wala siwezi kulala nikimuwazia yeye all time yaani weupe wake kwakweli unanikosha na kuniua haswa yaani sio poa kabisa ndugu zangu
Baada ya kumaliza chuo nilipata kazi kwenye shirika moja la Afya linalo deal na ukimwi huku kanda ya ziwa ndoto yangu ilikuwa kuoa nyumbani mtwara lakini huyu binti msukuma nyantuzu amechange mind set yangu japo mimi nikiwa mmoja wa watu wakiwadhihaki wasukuma aisee naombeni mnisamehe ndigu zangu
Ama hakika wanawake wengi wa kinyantuzu ni wazuri sana aisee nimeshindwa kuvumilia mungu akijaalia huyu binti wa kisukuma nyantuzu Ameniua,amenivutia yaani Now call me shemeji wa wasukuma