Kila mwanamke ninayemtongoza ananikataa

Daaa, Mimi mwenzako nikitongoza nawapata lakin tunashindwana kwenye ela mbaka naona nina mikosi Naombwa ela sijajua tatizo likowapi
Ndio wanawake wasikuiz saiv mm najilia ma bar maid tu nikitoa ugwadu kwa mwez mara mbili natulia zang wanawake wa sikuizi wanapenda sana pesa. Mfano huyo ni dem ambaye tulianza mazoea kidogo tu ila duh! Nkaona hapa nitamnunulia leo chipsi kesho mizinga kama kawa.
 
Itakua huwa unawahi kukata tamaa sana ila fanya hv akigoma komaa nae, msome anapenda nn huyo dem mfanyie kama anapenda kujengewa nyumba basi mjengee uone kama atakataa.
Hahahah,nyumba tena!
 
Nashukuru kwa ushauri mkuu,ila hayo yote nimeyafanya na nilikua bench karibia mwaka mzima na nikazoeana wasichana wengi sana ila nilipo anza tu mtongozo,NO zikaanza
duh. kila mtu na silaha yake bana mi silaha yangu ucheshi, masihara mengi.
 
Ma bar maid matatizo mkuu
 
Huwa wanaogopa perepeche kama hizi...

Umekataliwa tu unatangaza... Je ukivuliwa chupi si utapiga parapanda dunia nzima...

Mwanamke anapenda usiri ili awe huru na mambo yake mengine.

Mwanamke ahitaji pesa direct ukiwa unatongoza.. Ila anataka ishara au dalili kuwa ukiwa nae atakula maisha...

Mwanamke hatongozwi uchochoroni.. Kwa rika lako ni appointment na rendezvous ya uhakika.. Mixer vizawad zawad.. Mamisos.. Sana tu.

Mwanamke anapatikana kwa mbinu na ufundi wa kuteka hisia zake na sio sound pekee yake...
Uongo lazima uwe mwingi.. Promise za kutosha ikiwezekana anza kutengenza urafiki nao ili upate uhuru wa kuuonesha upendo wako.


Kingine kasi yako ni ndogo...
Yaaani miaka miwili wanawake 35 tu.. Huu ni upuuzi.. Na lazima ukataliwe..

Ina maana kwa mwezi mwanamke mmoja tu ndio unakutana nae mkali..
Huyu atakuwa mkali haswa na utakataliwa saaana.

Real man... Mara nyingi kila wik unatakiwa utongoze zaid ya mara 7 ulitakiwa now uwe kwenye wanawake 500 huko.

Unadhan woote wangekukataa hao.

Cha mwisho na cha msingi.
Pay attention kwa vitu muhimu.
Lengo la kutongoza kama linaweza kutatulika kwa njia ingine ni vyema ukaitumia...

Example.. Kama unatafuta papuchi si ukanunue tu tandika.


Mi nipo sina mwomekano sina pesa sina nin...
Ila nawabutua kama kawa.. Ni perepeche na uongo mwiingi...
Kujituma kwa saaana...
Mwisho wa siku unapewa mzigo chap
 
Nafail kutongoza kivipi,kwani kutongoza si kumuelezea mtu hisia zake au nyie mnafanyaje?mnachomoaga betri au
Unafeli kutongoza, unafeli sana... uwe na pesa usiwe na pesa kutongoza ni jambo jepesi mno, tena siku hizi hata wik mtu hamalizi mtoto anakua keshaelewa
 
Nimepost ili nipate msaada,ila nitajaribu hiyo 1 per day wakifika 500 wote kapa nitafanya kitu
 

Una bahati sana. Mshukuru Mungu maana umeepushiwa mengi.
 
Unafeli kutongoza, unafeli sana... uwe na pesa usiwe na pesa kutongoza ni jambo jepesi mno, tena siku hizi hata wik mtu hamalizi mtoto anakua keshaelewa
Wewe unatongozaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…