Ni kweli, mpaka miaka mitano itimie wabunge wengi watakuwa wamekufa kwa wastani wa mwezi mmoja mbunge mmoja atakufa. Tena kuna mwezi mmoja watakufa hata wawili na zaidi. Hii ni hesabu ya kawaida haihitaji uaguzi na utabiri, ni hali halisi na mtazamo wa kawaida
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.