Kila napoangalia naona kazi ya kutukuka ya Rais Samia, Tunataka nini tena Watanzania ili turidhike?

Kuna watu wapumbavu kweli, lila unapoangalia hauoni umeme ni shida? Hauoni maji ni shida? Hauoni udhaifu, rushwa matumizi mabaya ya rasilimali? Hauoni bei ya bidhaa kupanda? Tozo na gharama za maisha kupanda? Lakini bado mtu anaongea utumbo!
Suala la umeme linaendelea kushughulikia na serikali yetu Hii, Ikumbukwe kuwa hii imetokana na ukame inayoendelea hivi Sasa uliotokana na kuchelewa kuonyesha kwa mvua, Hata hivyo serikali kupitia TANESCO inaendelea kufanya juhudi za kuongeza umeme kupitia vyanzo vingine vya Nishati Kama vile kutumia gas Asili kuzalisha umeme
 
Naona mwenzako CM 202928181 ameamua kuukubali ukweli wa ule msemo wa "Kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza".
 
Na inshu za kupanda bei za vitu? vyakula utasema ukame vipi kuhusu bando... mkuu kuna uozo mwingi tu achana na hayo mapambio
 
Wanyiha washamba sana...tumngoje....
 
Umetoa pongezi nyingi lakini naona bado kama taifa tupo njiani kuelekea huko tunakotaka kwenda na hatujafika, kwa mfano bado hatujawa na Elimu bora yaani mwanafunzi aliyemaliza kidato cha nne shule ya kata afanane na yule aliyemaliza shule binafsi...Huduma bora za afya iwe ni haki ya kila raia wa nchi hii awe ana fedha au hana.
 
Unajidhalilisha tu na yote hii ni umasikini ndio unaokuponza kuwa mlamba makalio.
Fanya shughuli halali achana na siasa hutatoboa unapoteza tu muda wako.
 
Tutafika mkuu maana juhudi zinaonekana katika kuboresha mfumo wetu wa Elimu ili kuendana na wakati tuliopo
 
Unajidhalilisha tu na yote hii ni umasikini ndio unaokuponza kuwa mlamba makalio.
Fanya shughuli halali achana na siasa hutatoboa unapoteza tu muda wako.
Karibu kwa mawazo yako mapya tuweze kuchangia na kujifunza kutoka kwako
 
Nimesoma huu unzi wako nikajikuta naanza kucheka🤣 cjui kwann
 
Hayo mapambio ni nusu ya yale ya mwendazake!!hayo semeni ambao mnafaidika na utawala uliopo madarakani,ila kwa walio nje na mfumo huo ,maisha wanayoishi kwa sasa,ni kama kipindi cha baada ya vita vya kagera.
Maisha ni magumu kuliko wakati wa vita vya Kagera ila imeamriwa hali hii IFICHWE , lakini Je unaweza kuficha Pembe la ng'ombe
 
Good analysis,
 
Wewe umelipwa uje uongee ujinga hapa. Kamwambie hakuna mjinga hapa na 2025 hatoboi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…