Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Mbona hizo ni kazi za magufuli? Samia anaendeleza kishingo upandeMimi naongozwa na uzalendo wangu tu na siyo kuwa nipo kula hapa , kazi ya Rais Samia kwetu watanzania ndio chakula chetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hizo ni kazi za magufuli? Samia anaendeleza kishingo upandeMimi naongozwa na uzalendo wangu tu na siyo kuwa nipo kula hapa , kazi ya Rais Samia kwetu watanzania ndio chakula chetu
Walamba Asali Hili jamaaNdugu zangu Kama ukiacha akili yako iwe huru, ukaondoa mawazo ya uchama kichwani, ukatazama uongozi wa Rais Samia kwa mawazo huru yasiyofungwa na chochote Wala kupofushwa na chuki binafsi kwa Rais Samia, utakubaliana nami kuwa Rais mama Samia kafanikiwa kufanya kazi njema na ya kutukuka katika kila secta na kila eneo linalogusa maisha ya watanzania wanyonge.
Utagundua kuwa Mama Samia kafanikiwa kugusa maisha ya watanzania moja kwa moja, kajenga uchumi unaomgusa mtanzania,utagundua kuwa Mama Samia anaelekeza mamilioni kwa mabillioni ya pesa za kitanzania katika miradi inayogusa na kumnufaisha mtanzania mnyonge katika maisha yake ya kila siku
Mfano ukienda katika kilimo secta iliyobeba kundi kubwa la watanzania unakuta Rais Samia kaelekeza mabillioni ya pesa takribani billioni Mia moja hamsini kama Ruzuku , Hatua hii ya makusudi , kimkakati , kishujaa na kijasiri imepelekea kushuka kwa Bei ya mbolea sokoni,. Mfano mbolea ya DAP msimu uliopita ilikuwa inauzwa shillingi laki moja na 40 lakini msimu huu inapatikana kwa elfu 70 tu, hii imewasha Taa ya Matumaini katika mioyo ya mamilioni ya watanzania wanyonge ambao wanategemea kilimo kuendeshea maisha yao,kwani hatua hii itafanya wakulima kuongeza uzalishaji na hivyo kuinuka kiuchumi na kupunguza umaskini wa Kaya.
Ukija katika Elimu unakuta mh Rais Samia kachukua uamuzi wa kufuta Ada na kufanya Elimu kuwa bure Hadi kidato Cha sita, hatua hii imewafuta machozi na jasho na kuwatua mzigo wazazi wengi waliokuwa wanahangaika kutafuta Ada kwa ajili ya kusomesha watoto wao,lakini pia hatua hii ya mama yetu mpendwa mama Samia imewasha na kuamsha Matumaini kwa wanafunzi wanaotoka katika familia duni nafasi ya Kuendelea na masomo yao bila kikwazo chochote kile,
Lakini pia mama yetu shupavu na Mama wa shoka amehakikisha ujenzi wa shule mpya nchini kwote na ujenzi wa vyumba vya madarasa zaidi ya elfu nane nchini,Hali iliyopelekea na kutoa nafasi kwa wanafunzi wote wanaofaulu kupata Nafasi ya kwenda shule kwa wakati bila kukaa nyumbani Kama ilivyokuwa zamani ambapo wanafunzi wengine walikuwa wanakwenda muhula wa pili na hivyo kuwa nyuma kimasomo ukilinganisha na wenzao waliotangulia tangia mwezi January.
Ukija katika Afya,Unakuta mama wa shoka kipenzi Cha watanzania Tumaini la wanyonge na chaguo la watanzania Mama Samia ameimarisha Sana secta ya Afya kwa kuhakikisha ujenzi wa zahanati na vituo vya Afya mbalimbali nchini,mfano majuzi hapa takribani vituo vya Afya 234 vimejengwa nchini kwote,lakini pia ameimarisha upatikanaji wa vifaa Tiba , madawa na hata wataalamu wa Afya nchini kwote Kama ambavyo tumeshuhudia utoaji wa ajira za Afya miezi michache iliyopita ambapo zilitoka pamoja na zile za ualimu,
Hatua hii imesaidia na kusogeza huduma Karibu kabisa ya mtanzania na kupunguza adha ya kusafiri umbali mrefu kutafuta huduma. Lakini pia huduma za kibingwa zinapatikana na hivyo kupunguza zile safari za kupeleka wagonjwa nje ya nchi ambapo watanzania masikini wasio na uwezo wa kupeleka wagonjwa wao nje ya nchi waliishia kuwapoteza na kubaki na majonzi na uchungu mioyoni mwao ya kupoteza wapendwa wao kwa kukosa tu fedha, Sasa Hali Ni ya Matumaini Sana kwetu watanzania kutokana na juhudi za Rais Samia kuimarisha secta ya Afya
Ndugu zangu kila eneo utakalo kwenda iwe Ni suala la demokrasia au usambazaji wa maji, au umeme unakuta Rais Samia kafanya kazi kubwa Sana ya kugusa maisha ya watanzania, Ni ngumu kumaliza yote aliyoyafanya Rais Samia maana hapa patajaa kabisaa
Watanzania tukubali kuwa taifa Letu halitaongozwa na Malaika kwa kuwa hatuna Malaika miongoni Mwetu, Na katika Ubinadamu wake Rais Samia Anastahili pongezi kubwa Sana kutoka kwetu watanzania, Anastahili kuungwa mkono na kila mtanzania mwenye mapenzi mema na nchi hii, Anastahili kuombewa na kila mtanzania ili mwenyezi Mungu amjalie Afya njema na nguvu za kututumikia watanzania.
Watanzania tunataka Nini Tena ambacho Rais Samia hajafanya? Nini ambacho Hakipo katika mipango ya Rais Samia ambacho tunaona kina umuhimu kwetu? Nini na wapi ambako hajagusa kiutendaji? Mimi naona kagusa na kufanyia kazi kila eneo linalo gusa maisha ya mtanzania mnyonge, kila eneo kaweka mkono wake wa upendo na huruma kwa mtanzania mnyonge na kila eneo kalitazama kwa macho ya utayari
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
Rais Samia anatekeleza ilani ya CCM aliyoinadi uchaguzi uliopitaMbona hizo ni kazi za magufuli? Samia anaendeleza kishingo upande
Sina kibuyu Cha asali Bali kazi za Rais Samia zinatupatia keki watanzania wanyonge woteWalamba Asali Hili jamaa
Mbona wewe hujaweka ya kwakoHivi namba ya simu umeweka kweli?
Tuachie mama samia wetu.....wewe endelea kumsifu na kumtukuza magufuriNdugu zangu Kama ukiacha akili yako iwe huru, ukaondoa mawazo ya uchama kichwani, ukatazama uongozi wa Rais Samia kwa mawazo huru yasiyofungwa na chochote Wala kupofushwa na chuki binafsi kwa Rais Samia, utakubaliana nami kuwa Rais mama Samia kafanikiwa kufanya kazi njema na ya kutukuka katika kila secta na kila eneo linalogusa maisha ya watanzania wanyonge.
Utagundua kuwa Mama Samia kafanikiwa kugusa maisha ya watanzania moja kwa moja, kajenga uchumi unaomgusa mtanzania,utagundua kuwa Mama Samia anaelekeza mamilioni kwa mabillioni ya pesa za kitanzania katika miradi inayogusa na kumnufaisha mtanzania mnyonge katika maisha yake ya kila siku
Mfano ukienda katika kilimo secta iliyobeba kundi kubwa la watanzania unakuta Rais Samia kaelekeza mabillioni ya pesa takribani billioni Mia moja hamsini kama Ruzuku , Hatua hii ya makusudi , kimkakati , kishujaa na kijasiri imepelekea kushuka kwa Bei ya mbolea sokoni,. Mfano mbolea ya DAP msimu uliopita ilikuwa inauzwa shillingi laki moja na 40 lakini msimu huu inapatikana kwa elfu 70 tu, hii imewasha Taa ya Matumaini katika mioyo ya mamilioni ya watanzania wanyonge ambao wanategemea kilimo kuendeshea maisha yao,kwani hatua hii itafanya wakulima kuongeza uzalishaji na hivyo kuinuka kiuchumi na kupunguza umaskini wa Kaya.
Ukija katika Elimu unakuta mh Rais Samia kachukua uamuzi wa kufuta Ada na kufanya Elimu kuwa bure Hadi kidato Cha sita, hatua hii imewafuta machozi na jasho na kuwatua mzigo wazazi wengi waliokuwa wanahangaika kutafuta Ada kwa ajili ya kusomesha watoto wao,lakini pia hatua hii ya mama yetu mpendwa mama Samia imewasha na kuamsha Matumaini kwa wanafunzi wanaotoka katika familia duni nafasi ya Kuendelea na masomo yao bila kikwazo chochote kile,
Lakini pia mama yetu shupavu na Mama wa shoka amehakikisha ujenzi wa shule mpya nchini kwote na ujenzi wa vyumba vya madarasa zaidi ya elfu nane nchini,Hali iliyopelekea na kutoa nafasi kwa wanafunzi wote wanaofaulu kupata Nafasi ya kwenda shule kwa wakati bila kukaa nyumbani Kama ilivyokuwa zamani ambapo wanafunzi wengine walikuwa wanakwenda muhula wa pili na hivyo kuwa nyuma kimasomo ukilinganisha na wenzao waliotangulia tangia mwezi January.
Ukija katika Afya,Unakuta mama wa shoka kipenzi Cha watanzania Tumaini la wanyonge na chaguo la watanzania Mama Samia ameimarisha Sana secta ya Afya kwa kuhakikisha ujenzi wa zahanati na vituo vya Afya mbalimbali nchini,mfano majuzi hapa takribani vituo vya Afya 234 vimejengwa nchini kwote,lakini pia ameimarisha upatikanaji wa vifaa Tiba , madawa na hata wataalamu wa Afya nchini kwote Kama ambavyo tumeshuhudia utoaji wa ajira za Afya miezi michache iliyopita ambapo zilitoka pamoja na zile za ualimu,
Hatua hii imesaidia na kusogeza huduma Karibu kabisa ya mtanzania na kupunguza adha ya kusafiri umbali mrefu kutafuta huduma. Lakini pia huduma za kibingwa zinapatikana na hivyo kupunguza zile safari za kupeleka wagonjwa nje ya nchi ambapo watanzania masikini wasio na uwezo wa kupeleka wagonjwa wao nje ya nchi waliishia kuwapoteza na kubaki na majonzi na uchungu mioyoni mwao ya kupoteza wapendwa wao kwa kukosa tu fedha, Sasa Hali Ni ya Matumaini Sana kwetu watanzania kutokana na juhudi za Rais Samia kuimarisha secta ya Afya
Ndugu zangu kila eneo utakalo kwenda iwe Ni suala la demokrasia au usambazaji wa maji, au umeme unakuta Rais Samia kafanya kazi kubwa Sana ya kugusa maisha ya watanzania, Ni ngumu kumaliza yote aliyoyafanya Rais Samia maana hapa patajaa kabisaa
Watanzania tukubali kuwa taifa Letu halitaongozwa na Malaika kwa kuwa hatuna Malaika miongoni Mwetu, Na katika Ubinadamu wake Rais Samia Anastahili pongezi kubwa Sana kutoka kwetu watanzania, Anastahili kuungwa mkono na kila mtanzania mwenye mapenzi mema na nchi hii, Anastahili kuombewa na kila mtanzania ili mwenyezi Mungu amjalie Afya njema na nguvu za kututumikia watanzania.
Watanzania tunataka Nini Tena ambacho Rais Samia hajafanya? Nini ambacho Hakipo katika mipango ya Rais Samia ambacho tunaona kina umuhimu kwetu? Nini na wapi ambako hajagusa kiutendaji? Mimi naona kagusa na kufanyia kazi kila eneo linalo gusa maisha ya mtanzania mnyonge, kila eneo kaweka mkono wake wa upendo na huruma kwa mtanzania mnyonge na kila eneo kalitazama kwa macho ya utayari
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
Basi pongezi kwa CCMRais Samia anatekeleza ilani ya CCM aliyoinadi uchaguzi uliopita
Ni Jambo jema maana kucheka Ni dalili za furaha inayo weza kukusaidia kukuongezea siku za kuishiNimesoma huu unzi wako nikajikuta naanza kucheka🤣 cjui kwann
Mimi sio mlamba asali.Mbona wewe hujaweka ya kwako
Wee jamaa pumba San ,wap nimemtukuza maguful mm wew jamaa hujielewi nnTuachie mama samia wetu.....wewe endelea kumsifu na kumtukuza magufuri
Tuendelee kumuunga mkono Rais wetu mpendwa mama SamiaTuachie mama samia wetu.....wewe endelea kumsifu na kumtukuza magufuri
Silipwi kuandika hapaHaya kachukue buku saba yako
Ndio Ni pongezi kwa Rais Samia na serikali yake ya CCM Anayo iongozaBasi pongezi kwa CCM
Hufai kua mdau wew Bora watu wakulaani🤧🤧Silipwi kuandika hapa
Wote Wana Imani na CCMIvi Kuna Cham cha upinzan sasaiv sio ACT, sio Chadema hakuna anaekemea mabaya wote wamelambishwa Asali upuuzi mkubwa
Mimi huwa ndio nashangaa wazungu wao uchumi unaposhuka wanakuwa wazi tu kuwaambia wananchi wao,lakini huku kwetu yaani kila siku utasikia ohoo,uchumi wetu unazidi kuumalika kila siku,huku ukiangalia maisha ya wananchi ndio yanazidi kurudi nyuma!!Walioshiba utawasikia tu mala WB,IMF,wanatupongeza kwa jinsi uchumi unavyokuwa kwa kasi.Maisha ni magumu kuliko wakati wa vita vya Kagera ila imeamriwa hali hii IFICHWE , lakini Je unaweza kuficha Pembe la ng'ombe
Acha unafiki.....baki upande wakoTuendelee kumuunga mkono Rais wetu mpendwa mama Samia