Kila napoangalia naona kazi ya kutukuka ya Rais Samia, Tunataka nini tena Watanzania ili turidhike?

Walamba Asali Hili jamaa
 
Hivi namba ya simu umeweka kweli?
 
Tuachie mama samia wetu.....wewe endelea kumsifu na kumtukuza magufuri
 
Ivi Kuna Cham cha upinzan sasaiv sio ACT, sio Chadema hakuna anaekemea mabaya wote wamelambishwa Asali upuuzi mkubwa
 
Maisha ni magumu kuliko wakati wa vita vya Kagera ila imeamriwa hali hii IFICHWE , lakini Je unaweza kuficha Pembe la ng'ombe
Mimi huwa ndio nashangaa wazungu wao uchumi unaposhuka wanakuwa wazi tu kuwaambia wananchi wao,lakini huku kwetu yaani kila siku utasikia ohoo,uchumi wetu unazidi kuumalika kila siku,huku ukiangalia maisha ya wananchi ndio yanazidi kurudi nyuma!!Walioshiba utawasikia tu mala WB,IMF,wanatupongeza kwa jinsi uchumi unavyokuwa kwa kasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…