Kila napoangalia naona kazi ya kutukuka ya Rais Samia, Tunataka nini tena Watanzania ili turidhike?

Umelogwa na nani sijui
Sijarogwa na mtu mkuu , Mimi ndio huwa nawaza mmerogwa na nani nyie chadema mpaka mmeshindwa kujenga ofisi zenu za makao makuu licha ya kupokea mamilioni kwa mamillion ya Ruzuku Hadi hela za akina Sabodo zote mmetafuna Kama mchwa, ACT wazalendo imeanzishwa majuzi lakini Ina ofisi, nyie mmeshindwa hata kupaka rangi tu kwenye kuta za nje ya ofisi, Aibu iwe juu yenu ninyi wababaishaji
 
Mods let this blood hopeless guy be banned, tumechoka sasa
Nina mpango kuwasaidia kuwaombea michango humu jukwaani ili mpate hela za kupaka rangi ofisi zenu za chadema,Ila hela nitashika Mimi maana nyie Ni watafunaji na hamuaminiki kwa kitu kinachoitwa hela,laana za watanzania zitawatafuna Sana kwa kula hela zao
 
Tunataka haya

-mishahara juu

-Bando chini

-umeme reliable

-maji reliable

-mfumuko wa bei chini

-Ajira kibao

-afya na dawa reliable!!

-siasa sawa KWA wote bila tishio la virungu

Angalau hayo wooote tutasifu na kuimba jina lake!!
 
Kuna uzi humu jamaa kapandisha unahusu upumbavu wa watanzania unavyochangia kudorora kwa maendeleo yetu. Kausome utakusaidia sana. Maana kila nikusomapo nikirejea na hilo bandiko naona kabisa jamaa alikuwa sahihi. Wewe ni mmojawapo wa wapumbavu hao
 
Mtoa mada kuna watu wanataka kuku chumbia ,na posa ipo njiani
 
Katiba ibafilishwe atawale maisha
Au siyo?
 
Mods let this blood hopeless guy be banned, tumechoka sasa
Nina mpango kuwasaidia kuwaombea michango humu jukwaani ili mpate hela za kupaka rangi ofisi zenu za chadema,Ila hela nitashika Mimi maana nyie Ni watafunaji na hamuaminiki kwa kitu kinachoitwa hela,laana za watanzania zitawatafuna Sana kwa kula hela zao
 
Kuna uzi humu jamaa kapandisha unahusu upumbavu wa watanzania unavyochangia kudorora kwa maendeleo yetu. Kausome utakusaidia sana. Maana kila nikusomapo nikirejea na hilo bandiko naona kabisa jamaa alikuwa sahihi. Wewe ni mmojawapo wa wapumbavu hao
Jenga hoja na pinga hoja kwa hoja
 
Tunataka haya

-mishahara juu

-Bando chini

-umeme reliable

-maji reliable

-mfumuko wa bei chini

-Ajira kibao

-afya na dawa reliable!!

-siasa sawa KWA wote bila tishio la virungu

Angalau hayo wooote tutasifu na kuimba jina lake!!
Hakuna kero itakayobaki bila kutatuliwa ,hakuna hitaji la mtanzania ambalo halitatimizwa
 
Mpaka leo hawajakuona tu kila siku mikeka inakupita pembeni?
Mimi siandiki kuhusu uteuzi Bali Naandika kuhusiana na kazi kubwa na ya kutukuka inayofanywa na Rais wetu mpendwa Mama Samia kipenzi Cha watanzania wanyonge
 
chawa pro.
 
Kama kusema ukweli wa kazi kubwa zilizofanywa na Rais Samia Ni uchawa Basi nakubali kuitwa chawa
wenzako tunaziona lakini tunataka afanye zaidi mana ndiyo kazi yake. we mwenetu usiku kucha unasifia tu. babako akileta mkate home ambalo ni jukumu lake kimsingi huwa unamsifia hivyo kwa majirani hapo mtaani?
 
Mimi siandiki kuhusu uteuzi Bali Naandika kuhusiana na kazi kubwa na ya kutukuka inayofanywa na Rais wetu mpendwa Mama Samia kipenzi Cha watanzania wanyonge
wewe ni mnyonge? kwani wanyonge bado wapo? wanaishi wapi, wanafanya ninini, nani aliwafanya wawe wanyonge? ukitoa wanyonge kuna tabaka lingine? linaundwa na kujumuisha kina nani hilo?
maswali haya yakijibiwa tutaondokana na ghiriba za kuwadanganya watu
 
Umeuliza maswali sensitive sana kwa kweli, tumenyongwa na nani wakati wao miaka yote 60 toka uhuru wapo madarakani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…