Kila nchi ina haki ya kuwa na silaha za aina zote

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,439
Reaction score
145,410
Naunga mkono Iran kuwa na silaha za nyuklia.

Naunga mkono hata Tanzania kuwa nazo.

Namna pekee ya kuheshimiana hapa duniani ni kila nchi ikiwa na silaha za maangamizi makubwa.

Iran ingekuwa nazo hizo silaha za nyuklia, Israel na Marekani zisingethubutu kuishambulia.

Iran haijatenda kosa lolote lile lakini imeshambuliwa na mataifa mawili yenye silaha za nyuklia.

Huo ni uchokozi na uonevu.

Tena hiyo Israel inazo hizo silaha za nyuklia na hakuna anayenyanyuka na kusema kuwa hiyo nchi haipaswi kuwa nazo.

Halafu ni nani huyo ambaye alizipa ruhusa hizo nchi nyingine zenye hizo silaha kuwa nazo?

Nani aliipa Marekani ruhusa ya kuwa na hizo silaha? Na Marekani inatoa wapi mamlaka ya kuamua huyu au yule hapaswi kuwa nazo silaha za nyuklia?

Unafiki wa kiwango cha daraja la kwanza.

Maana kama kuna nchi hapa duniani ambayo haipaswi kabisa kuwa nazo hizo silaha, basi nchi hiyo ni Marekani ikifuatiwa na Israel.

Marekani ndo nchi pekee ambayo imekuwa ikizivamia nchi zingine na kuzilipua bila sababu zozote za msingi.

Wakati mwingine Marekani hutunga hata uongo wa sababu za kuzivamia nchi zingine.

Walijiingiza kwenye vita huko Vietnam. Watu ambao waliipinga hiyo vita ya Vietnam wakati huo, wengine walifungwa jela na wengine walinyanyaswa na kuitwa ni wasaliti.

Mfano Muhammad Ali na Martin Luther King Jr.

Ali alinyang’anywa hadi mkanda wake wa ubingwa wa ndondi na kufungwa jela kwa kukataa kwenda vitani dhidi ya watu ambao hakuwa na tatizo nao.

Sasa hivi Ali ni shujaa anayeheshimika kutokana na misimamo yake thabiti katika kutetea haki za watu.

Mpaka uwanja wa ndege wa mji alipozaliwa umepewa jina lake!

Iran ijitoe kwenye NPT. Na sasa waliunde kikwelikweli hilo bomu la nyuklia na naamini watafanya kweli.

La sivyo wataendelea kunyanyaswa na Israel na Marekani.

Hakuna nchi iliyo na haki pekee ya kuwa na silaha za nyuklia na hakuna nchi isiyo na haki ya kuwa nazo.

Hata Tanzania tuna haki ya kuwa nazo.

Hao walionazo hizo silaha hawakuomba ruhusa yoyote ile kutoka kwa yeyote yule ili kuwa nazo hizo silaha.

I say eff them. Go Iran go.
 
Umeandika kiboya sana

USSR
 
Sisi USA hatutoruhusu vichaa Iran kuwa na hata robo ya robo ya Nuclear, huu uzi kutoka kwa Makobaz aishie Nachingwea hauwezi kuturudisha nyuma.

Makobaz tutawapelekea moto tuu
 
Nature haitaki hivyo, ndiyo maana viumbe dhaifu hudhuriwa dhidi ya viumbe shupavu.

"Survival of the fittest"
Huo si ulinganifu ulio sahihi. Hata hivyo, Ahsante kwa mchango wako.
 
Ili dunia itawalike lazima wanyonge wawepo na haitatokea kamwe pakawa na usawa wa kila Taifa kumiliki rasilimali watu na vitu kama teknolojia, vifaa vya kivita na utajiri wa mali zozote duniani.

Ndiyomaana dunia huongozwa na makundi ya Wataalam wa AFYA, SIASA, TEKNOLOJIA, UCHUMI na DINI ili kubalansi uongozi wa nchi zote duniani.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Naunga mkono Iran kuwa na silaha za nyuklia.

Naunga mkono hata Tanzania kuwa nazo.

Namna pekee ya kuheshimiana hapa duniani ni kila nchi ikiwa na silaha za maangamizi makubwa.

Iran ingekuwa nazo hizo silaha za nyuklia, Israel na Marekani zisingethubutu kuishambulia.

Iran haijatenda kosa lolote lile lakini imeshambuliwa na mataifa mawili yenye silaha za nyuklia.

Huo ni uchokozi na uonevu.

Tena hiyo Israel inazo hizo silaha za nyuklia na hakuna anayenyanyuka na kusema kuwa hiyo nchi haipaswi kuwa nazo.

Halafu ni nani huyo ambaye alizipa ruhusa hizo nchi nyingine zenye hizo silaha kuwa nazo?

Nani aliipa Marekani ruhusa ya kuwa na hizo silaha? Na Marekani inatoa wapi mamlaka ya kuamua huyu au yule hapaswi kuwa nazo silaha za nyuklia?

Unafiki wa kiwango cha daraja la kwanza.

Maana kama kuna nchi hapa duniani ambayo haipaswi kabisa kuwa nazo hizo silaha, basi nchi hiyo ni Marekani ikifuatiwa na Israel.

Marekani ndo nchi pekee ambayo imekuwa ikizivamia nchi zingine na kuzilipua bila sababu zozote za msingi.

Wakati mwingine Marekani hutunga hata uongo wa sababu za kuzivamia nchi zingine.

Walijiingiza kwenye vita huko Vietnam. Watu ambao waliipinga hiyo vita ya Vietnam wakati huo, wengine walifungwa jela na wengine walinyanyaswa na kuitwa ni wasaliti.

Mfano Muhammad Ali na Martin Luther King Jr.

Ali alinyang’anywa hadi mkanda wake wa ubingwa wa ndondi na kufungwa jela kwa kukataa kwenda vitani dhidi ya watu ambao hakuwa na tatizo nao.

Sasa hivi Ali ni shujaa anayeheshimika kutokana na misimamo yake thabiti katika kutetea haki za watu.

Mpaka uwanja wa ndege wa mji alipozaliwa umepewa jina lake!

Iran ijitoe kwenye NPT. Na sasa waliunde kikwelikweli hilo bomu la nyuklia na naamini watafanya kweli.

La sivyo wataendelea kunyanyaswa na Israel na Marekani.

Hakuna nchi iliyo na haki pekee ya kuwa na silaha za nyuklia na hakuna nchi isiyo na haki ya kuwa nazo.

Hata Tanzania tuna haki ya kuwa nazo.

Hao walionazo hizo silaha hawakuomba ruhusa yoyote ile kutoka kwa yeyote yule ili kuwa nazo hizo silaha.

I say eff them. Go Iran go.
Nyani.

Nilifikiri una uelewa kumbe hamnazo. Hivi kweli taifa linalounda silaha za nuclear ikae ikiitisha taifa nyingine kuifuta ktk ramani ya dunia ?!. Israel inazo hizo silaha. Imewahi kumtisha nani ?!

Iran kila kulicha inawafadhili proxies wake kuizunguka Israel. Hamas , Hezboullah na Houthis na kuleta taharuki huyo ndiyo wa kumiliki nuclear kweli ?!.

Hata ukiwa chukia US & Israel huwezi kuwafanya chochote.
 
Naunga mkono Iran kuwa na silaha za nyuklia.

Naunga mkono hata Tanzania kuwa nazo.

Namna pekee ya kuheshimiana hapa duniani ni kila nchi ikiwa na silaha za maangamizi makubwa.

Iran ingekuwa nazo hizo silaha za nyuklia, Israel na Marekani zisingethubutu kuishambulia.

Iran haijatenda kosa lolote lile lakini imeshambuliwa na mataifa mawili yenye silaha za nyuklia.

Huo ni uchokozi na uonevu.

Tena hiyo Israel inazo hizo silaha za nyuklia na hakuna anayenyanyuka na kusema kuwa hiyo nchi haipaswi kuwa nazo.

Halafu ni nani huyo ambaye alizipa ruhusa hizo nchi nyingine zenye hizo silaha kuwa nazo?

Nani aliipa Marekani ruhusa ya kuwa na hizo silaha? Na Marekani inatoa wapi mamlaka ya kuamua huyu au yule hapaswi kuwa nazo silaha za nyuklia?

Unafiki wa kiwango cha daraja la kwanza.

Maana kama kuna nchi hapa duniani ambayo haipaswi kabisa kuwa nazo hizo silaha, basi nchi hiyo ni Marekani ikifuatiwa na Israel.

Marekani ndo nchi pekee ambayo imekuwa ikizivamia nchi zingine na kuzilipua bila sababu zozote za msingi.

Wakati mwingine Marekani hutunga hata uongo wa sababu za kuzivamia nchi zingine.

Walijiingiza kwenye vita huko Vietnam. Watu ambao waliipinga hiyo vita ya Vietnam wakati huo, wengine walifungwa jela na wengine walinyanyaswa na kuitwa ni wasaliti.

Mfano Muhammad Ali na Martin Luther King Jr.

Ali alinyang’anywa hadi mkanda wake wa ubingwa wa ndondi na kufungwa jela kwa kukataa kwenda vitani dhidi ya watu ambao hakuwa na tatizo nao.

Sasa hivi Ali ni shujaa anayeheshimika kutokana na misimamo yake thabiti katika kutetea haki za watu.

Mpaka uwanja wa ndege wa mji alipozaliwa umepewa jina lake!

Iran ijitoe kwenye NPT. Na sasa waliunde kikwelikweli hilo bomu la nyuklia na naamini watafanya kweli.

La sivyo wataendelea kunyanyaswa na Israel na Marekani.

Hakuna nchi iliyo na haki pekee ya kuwa na silaha za nyuklia na hakuna nchi isiyo na haki ya kuwa nazo.

Hata Tanzania tuna haki ya kuwa nazo.

Hao walionazo hizo silaha hawakuomba ruhusa yoyote ile kutoka kwa yeyote yule ili kuwa nazo hizo silaha.

I say eff them. Go Iran go.
Wishful thinking ya hali ya juu.

Nice try buddy.
 
Back
Top Bottom