Kila nchi ina haki ya kuwa na silaha za aina zote

Kila nchi ina haki ya kuwa na silaha za aina zote

Shida siyo kuwa na silaha nyuklia,tatizo linaanzia pale unapotangaza publicly kwamba ukishazipata silaha za nyuklia,utaifuta nchi fulani kwenye ramani ya Dunia.Hiyo ni threat ambayo haikubaliki kwenye ulimwengu wa kistaarabu.
 
Nchi zote zilizopata mabadiliko makubwa zilipitia njia ngumu ya jasho na damu, Marekani walipigana vita vya ukombozi, civil war na civili rights movemnt kuleta mabadiliko makubwa, Ufaransa walimkata kichwa mfalme katika French revolution kuleta mabadiliko makubwa, Uingereza walipamba kupata Magna Carta na kufuatia na civil wars nyingi kuleta mabadiliko makubwa.
Kwa hiyo tuamini kuna siku Drc,Somalia n.k zitapata mabadiliko makubwa pia?
 
Kuna watu hata pesa wakimiliki ni shida.

Siyo kila nchi inaweza ku hadle nuclear, wengine tuna hasira mbaya.

Tunaweza kuingia vitani tukaanza na nuclear, ingawa wao wanataka iwe silaha ya mwisho.
 
Watanzania tunafurahi kuona Makobaz wakinyooshwa
Kwa ujinga wako hujui Israel raia 20% ni waislam. Sasa hao nao ni kobaz ila ni waisraeli!! Huu mzozo hauna connection na dini ndio maana hata wakristo wa palestina wanalipuliwa na Israel bila kujali sio waislam au vipi. Hata Lebanon wakristo na waislam ni 50:50 ila Israel iliwalipuwa bila kujali nani ni dini gani.

Cha ajabu waTanzania mnageuza udini, empty head kabisa.
 
Sawa, haya tuma salamu kwa watu watatu
 
Iran kila kulicha inawafadhili proxies wake kuizunguka Israel. Hamas , Hezboullah na Houthis na kuleta taharuki huyo ndiyo wa kumiliki nuclear kweli ?!.
Israel pia inafadhili magaidi, mfano waliompindua Assad hao SDF (Kurds) na HTS (Tawi la Al Qaeda) wote wapo kwenye most wanted list ya CIA ila walifadhiliwa na USA na Israel kumhondoa Al Assad. Sasa huu unafiki unawasaidia nini?
Israel inazo hizo silaha. Imewahi kumtisha nani ?!
Ndio imewahi kutishia, mwaka jana kwamba kama USA asipoingilia anaweza tumia nuclear dhidi ya Iran in case survival yake itakua hanging!!
 
JKT iingilie kati hili suala, ikibidi ipeleke vikosi kuionya marekani
 
Back
Top Bottom