Kila nikiikumbuka hii United huwa naumia sana.

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
20250405_085106.jpg
 
Umemjua huyo tu? Kipindi icho mdogo wangu sidhani kama hata ulikua umezaliwa
😂😂😂😂😂Mi sio mtu wa mpira ila nawajua kipindi hiko kuna roony. Kuna ronardo kuna gigs sijui kuna leopard Liverpool pale,
Kuna drogba cheissii
Kuna pita kechi pale cheisii
Kuna puyor pale bacca
Kuna wengi tuu usinichukulie poa wewe
 
Leopard na pita kechi hao labda ni wachezaji wa Livapuru na cheissii mkuu😂😂😂
 
Sir Ferguson na formula yake ya kutimia forward wadogo wenye speed na appetite ya kupata mafanikio Kama Rooney na Ronaldo Huku midfield wote pamoja na mabek wakiwa age alafu golini mnamweka kipa ambaye anakuheshimu Kwa asilimia Mia kulingana na umri Kama Edwin van Der Sar SASA unatarajia nini Kama sio makombe Tu then unakutana lofa Kama Arsene Wenger ambaye yeye anaamini kila mchezaji anapaswa kuwa kinda hata Kama n beki then unamkuta Gary Clichy ,bakary sagna na upumbavu flani hivi Kama szcznesny wojsciecy mwenye kazi ya kuokota mipira inayoingia Kwa kamba .

Mkuu asante Kwa kunikumbusha kipindi kile cha Arsenal ya akina Denilson .Theo walcot ,Adebayor na usajili WA ovyowa arsenal Wenger Kama Sylvester WA man u.
 
Ahhaha

Mkuu yani tulitusua vibaya mno

Old trafford illiitwa machinjioni
 
Kipindi hiko nakumbuka ilikua ajabu sana united kumaliza msimu akiwa nje ya top four, lakinj siku hizi ni moja ya maajabu makubwa sana duniani united kumaliza katika top four.
 
Back
Top Bottom