Kila nikiikumbuka hii United huwa naumia sana.

Lamine Yamal mkuu.
Huyo dogo ni wakawaida sana ukilinganisha na vijana waliochipukia enzi hizo Neimar wakati anaanza kila mtu alishika mdomo, anaonekana bora kwasababu wachezaji anaocheza nao niwakawaida. Kuna barcelona ilipita hapo 2009 -12 wakati naanza kusbakikia soka nilidhani huwa hawafungwagi 🤣
 
Kipindi hiko nakumbuka ilikua ajabu sana united kumaliza msimu akiwa nje ya top four, lakinj siku hizi ni moja ya maajabu makubwa sana duniani united kumaliza katika top four.
Unakuta mtu mwenye goli 20 anakaa benji , saivi mtu mwenye goli 9 ndio staa man u🤣
 
Huyo dogo ni wakawaida sana ukilinganisha na vijana waliochipukia enzi hizo Neimar wakati anaanza kila mtu alishika mdomo, anaonekana bora kwasababu wachezaji anaocheza nao niwakawaida. Kuna barcelona ilipita hapo 2009 -12 wakati naanza kusbakikia soka nilidhani huwa hawafungwagi 🤣
Mkuu Lamine Yamal hata ukimweka kwenye kile kikosi cha Barcelona cha 2010 angeanza kwa uwezo alionao.
Yule dogo ni fimbo ya fimbo mkuu.
 
Huyo dogo ni wakawaida sana ukilinganisha na vijana waliochipukia enzi hizo Neimar wakati anaanza kila mtu alishika mdomo, anaonekana bora kwasababu wachezaji anaocheza nao niwakawaida. Kuna barcelona ilipita hapo 2009 -12 wakati naanza kusbakikia soka nilidhani huwa hawafungwagi 🤣
Ile Barcelona ilikua inanitia hasira sana
victor valdes, Dan Alves, jold alba, carles puyor, gerald pique, sergio busquet, xavi hernandez, andres iniesta, lionel messi, david villa, pedro gonzales
Ilikua haifungiki

Acha ile ya kina etoo
 
Back
Top Bottom