Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
Huyo dogo ni wakawaida sana ukilinganisha na vijana waliochipukia enzi hizo Neimar wakati anaanza kila mtu alishika mdomo, anaonekana bora kwasababu wachezaji anaocheza nao niwakawaida. Kuna barcelona ilipita hapo 2009 -12 wakati naanza kusbakikia soka nilidhani huwa hawafungwagi π€£Lamine Yamal mkuu.
Unakuta mtu mwenye goli 20 anakaa benji , saivi mtu mwenye goli 9 ndio staa man uπ€£Kipindi hiko nakumbuka ilikua ajabu sana united kumaliza msimu akiwa nje ya top four, lakinj siku hizi ni moja ya maajabu makubwa sana duniani united kumaliza katika top four.
Mkuu Lamine Yamal hata ukimweka kwenye kile kikosi cha Barcelona cha 2010 angeanza kwa uwezo alionao.Huyo dogo ni wakawaida sana ukilinganisha na vijana waliochipukia enzi hizo Neimar wakati anaanza kila mtu alishika mdomo, anaonekana bora kwasababu wachezaji anaocheza nao niwakawaida. Kuna barcelona ilipita hapo 2009 -12 wakati naanza kusbakikia soka nilidhani huwa hawafungwagi π€£
Imekua ni timu ya daraja la chini kabisa siku hziUnakuta mtu mwenye goli 20 anakaa benji , saivi mtu mwenye goli 9 ndio staa man uπ€£
Ile Barcelona ilikua inanitia hasira sanaHuyo dogo ni wakawaida sana ukilinganisha na vijana waliochipukia enzi hizo Neimar wakati anaanza kila mtu alishika mdomo, anaonekana bora kwasababu wachezaji anaocheza nao niwakawaida. Kuna barcelona ilipita hapo 2009 -12 wakati naanza kusbakikia soka nilidhani huwa hawafungwagi π€£
Huyo yamal hawezi kuanza kwenye kikosi cha barcelona 2014 kurudi nyumaMkuu Lamine Yamal hata ukimweka kwenye kile kikosi cha Barcelona cha 2010 angeanza kwa uwezo alionao.
Yule dogo ni fimbo ya fimbo mkuu.
Mkuu usimwonee wivu bwana mdogo Yamal.Huyo yamal hawezi kuanza kwenye kikosi cha barcelona 2014 kurudi nyuma
Kweli mzee lampard unamuita leopard ππUnaninafikia we jamaa jau sana ππππππππππ daaah vishu kumbe ni hovyo kabisa
DaΓ ah we jamaa ni mnafiki sasa ππππAise ndiyo maana una sana busara siyo kama vijana wa 2000 wanaongea mambo ya hovyo utadhani wametolewa ubongo.
ππ Vishu unaninafikia hadi mimi mwanangu ahahahah daah maisha haya dadekKweli mzee lampard unamuita leopard ππ
Hiyo 2010 kwani namba anayochezea jamaa hivi sasa ilikuwa inamilikiwa na naniMkuu Lamine Yamal hata ukimweka kwenye kile kikosi cha Barcelona cha 2010 angeanza kwa uwezo alionao.
Yule dogo ni fimbo ya fimbo mkuu.
Ni kweli mkuu.DaΓ ah we jamaa ni mnafiki sasa ππππ
Adriana mutuHiyo 2010 kwani namba anayochezea jamaa hivi sasa ilikuwa inamilikiwa na nani
Kama ni huyo lamine angejihakikishia namba ya kudumu kabisaAdriana mutu