Kila nikikumbuka Machi 17, 2021 naishia kusema acheni Mungu aitwe Mungu

Kila nikikumbuka Machi 17, 2021 naishia kusema acheni Mungu aitwe Mungu

Kila jumapili anatoa mahubiri kama yeye ndio padri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na mapadri na masista waliovaa barakoa anawapa makavu yao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kila jumapili anatoa mahubiri kama yeye ndio padri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na mapadri na masista waliovaa barakoa anawapa makavu yao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna siku aliyonikwaza kama siku ile alivyowananga watawa kwa kuvaa barakoa.That was beyond everybody's limit.Was too much of a contempt to the faith!
 
Watu walikuwa wamechoka kupoteza ndugu na mali zao kwa kutekwa na kuporwa.

Watu walikuwa wamechoka kwa ubaguzi wa kisiasa. Kulikuwa na kauli za kijinga kama "mkimchagua mpizani sileti maji ama sijengi barabara".

Watu walichoshwa kusikia ama kuona kiongozi wa kitaifa akitoa matusi mazito kwenye mikutano ya hadhara tena mbele ya kamera. Mfano "watu watakunywa mkojo wako?" Kama huwezi kulipia "beba mav* yako".

Mungu akaona isiwe tabu. Akazisikia sala za watanzania na kuchukua hatua. Kiulaini akatuondolea adha na shida ile.

Ndipo sasa ninasema MUACHENI MUNGU AITWE MUNGU.
Kabisaa!!!!!Yule shetani alitakiwa afe kbs safi sana sahiz lilishajiozea huko kaburini
 
Naona unatamia mayai ya kundi jipya la kushangilia vifo? Endelea kutamia tu mpaka vifaranga vitakapototolewa.

Huwezi fanya sherehe nyumbani kwako sababu ya kifo cha jirani yako anayekudai siku ya msiba wake. Ndugu, marafiki na majirani wanaompenda watatafiti kwann unasheherekea na wao wana msiba kisha wakijua ni deni la mpendwa wao ndo linakupa furaha watakaa kikao na mada itakuwa ni madeni ya marehemu.
 
elimu haina mwisho naishukuru swami ya nne kuruhusu na kutambua slimy ya muda mfupi yaani QT. hujachelewa.
 
Watu walikuwa wamechoka kupoteza ndugu na mali zao kwa kutekwa na kuporwa.

Watu walikuwa wamechoka kwa ubaguzi wa kisiasa. Kulikuwa na kauli za kijinga kama "mkimchagua mpizani sileti maji ama sijengi barabara".

Watu walichoshwa kusikia ama kuona kiongozi wa kitaifa akitoa matusi mazito kwenye mikutano ya hadhara tena mbele ya kamera. Mfano "watu watakunywa mkojo wako?" Kama huwezi kulipia "beba mav* yako".

Mungu akaona isiwe tabu. Akazisikia sala za watanzania na kuchukua hatua. Kiulaini akatuondolea adha na shida ile.

Ndipo sasa ninasema MUACHENI MUNGU AITWE MUNGU.
Si mzungu kafanya yake
 
Kazi Ya Mungu Haina Makosa Ila Mkuu Sasa Wewe Umeamua Tu Mchana Huu
Kuleta Thread Ya Mzilankende Atukanwe Mpaka Aliko Akome
Ameshalala Mauti Hana Lolote Ajualo, Tulio Hai Ndiyo Hivyo Tena Tunatoka Jasho Mpaka La Meno Na Mikopo Kausha Damu Shahidi Wetu Sinyali Kimambo Yupo Pale......
 
Mleta mada alinyanyaswa kijinsia hadi akajiita hilo jina
 
Back
Top Bottom